Kwa hii nitaweza kusoma BVM

Kwa hii nitaweza kusoma BVM

Sir.Chemi

Member
Joined
Mar 18, 2012
Posts
51
Reaction score
1
Hello wanajf mi nimemaliza form 6 nilipata div 3 ya point14 PCB comb.(phys-S,chem-C,bio-E) Hivi nitaweza kusoma veterinary medicine SUA maana nasikia ushindani ni mkubwa na admn capacity yao ni nafasi 50 tu.
 
Back
Top Bottom