Kwa hii nyomi ya Diamond platnumz wa enzi hizo kuna kitu inabidi ajifunze...

Kwa hii nyomi ya Diamond platnumz wa enzi hizo kuna kitu inabidi ajifunze...

kimfano akishuka unapata faida gani,support him.....awe zaidi na zaidi
 
Bado natafakari! Kama naona ukweli fulani hivi. Maana hata ngoma yake aliotoa na wale Wajamaika,siku ya 10 leo bado anajikongoja kutafuta 1M views. Au kwa sababu kashirikishwa au wimbo siyo nzuri? Lakini
Nyimbo yake how? Kaangalie video soma tena.
 
Back
Top Bottom