Kwa hii safu ya viungo washambuliaji tutaona mengi msimu ujao 2024/2025

Kwa hii safu ya viungo washambuliaji tutaona mengi msimu ujao 2024/2025

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Kwa hii safu ya viungo washambuliaji tutaona mengi msimu ujao 2024/2025
Leo Yanga imemtambulisha kiungo mshambuliaji Clatous Chama akitokea Simba ambapo amemaliza mkataba wake
Ujio wake ndani ya Yanga ni jambo la furaha sana kwa mashabiki wa Yanga maana ni mchezaji ambaye aliibwa sana hati kutia saini leo
Tuitazame safu ya viungo washambuliaji ndani ya Yanga namna itakavyofanya kazi chini ya Kocha Gamondi
✍🏻Stephane Aziz Ki
✍🏻Pacôme Zouzoua
✍🏻Maxi Nzengeli
✍🏻Clatous Chota Chama
Vipi sasa hapo mdau watu wanatapigwa goli ngapi
Snapinsta.app_449435406_18327198853135476_8810613571831105336_n_1080.jpg

Back
Top Bottom