comte JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 9,019 Reaction score 6,825 May 14, 2024 #161 Meneja Wa Makampuni said: Leo kuna shida kubwa sana ya mitandao yote ya simu tangu saa nne. Nimejikuta nayakumbuka madishi ya Elon Musk ya Starlink. NDUGU ZANGU TOA USHAURI USITUKANE ==== Pia soma: Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania Click to expand... Mkuu wakati mwingine uwe unajikubali- mbadala wa internet ni kitu gani?
Meneja Wa Makampuni said: Leo kuna shida kubwa sana ya mitandao yote ya simu tangu saa nne. Nimejikuta nayakumbuka madishi ya Elon Musk ya Starlink. NDUGU ZANGU TOA USHAURI USITUKANE ==== Pia soma: Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania Click to expand... Mkuu wakati mwingine uwe unajikubali- mbadala wa internet ni kitu gani?