Kama mmeshindwa kudhibiti Malaya wa sinza ,tandale na tabata....mmeshindwa kudhibiti kamari za wachina vijana wanaharibika ni kama mazuzu ! Mmeshindwa kudhiti betting ! Mmeshindwa madawa ya kulevya na mmeshindwa kudhibiti ufisadi na rushwa mnataka kukomaa na wachungaji ambao hawalazimishi mtu kwenda kwao ni umburula wa kiwango Cha lami