Kwa hii tabia ya Walokole (hasa Waumini) wa hawa Mitume naomba Serikali ije na Uamuzi wa Kishalubela / Kikatili ili kuwadhibiti

Pakuanzia ni hapa .....MUNGU AKASEMA SIKU 6 FANYA KAZI YA 7 NI SIKU YA BWANA USIFANYE KAZI .....serikali ipige marufuku ibada yoyote kufanyika zaidi ya siku moja kwa week misikitini na makanisani hii itapunguza upumbavu kwa zaidi yavasilimia 60%
You have Nailed it Chief. Thanks.
 
Kama mmeshindwa kudhibiti Malaya wa sinza ,tandale na tabata....mmeshindwa kudhibiti kamari za wachina vijana wanaharibika ni kama mazuzu ! Mmeshindwa kudhiti betting ! Mmeshindwa madawa ya kulevya na mmeshindwa kudhibiti ufisadi na rushwa mnataka kukomaa na wachungaji ambao hawalazimishi mtu kwenda kwao ni umburula wa kiwango Cha lami
 
Waondoke wachungaji feki hatuwataki
 
Back
Top Bottom