Kumekuwa na tension ambayo Yanga wanaitengeza na huwa inawapa faida. Mfamo dabi iliyopita tuliona wazi kabisa mchezaji akichezewa faulo ndani ya box lakini mwamuzi alimeza kipenga zaidi ya mara mbili.
Hii ni kwa vile kwa hapa nchini, ili iwe penalty hadi mtu avunjwe mguu au mbavu. Pia magoli ya penalty huonekana sio sehemu ya mchezo wa mpira wa miguu kwa hapa nchini.
Hivyo wachezaji hata wanapokaba,hawajali jinsi wabavyokaba eneo hilo. Wakihisi tu mtu anaweza kufunga goli, wao watafanya chochote kuzuia ili wakipewa adhabu, wamlalamikie mwamuzi.
Sasa kwa mechi ijayo muwe makini sana kupanga waamuzi wa hapa kwetu maana wanaingia uwanjani wakiwa wanaogopa vitisho.
Ni wazi hawawezi kuwa bora kwani mwamuzi anaweza kuionea timu moja kisha akafanya kosa jingine la maksudi kuibeba timu iliyoonewa ili wachambuzi wachanganyikiwe kwenye uchambuzi wao kwani wengi akili zao ni za matukio tu hawawezi kufikiri nje ya matukio.
Mfano mwamuzi ataibeba timu anayoipenda inashinda goli 3-0, kisha dakika za jiooni anaweza kutoa hata kadi nyekundu ya utata kwa timu yake, ili awapoteze watu, washindwe kujua motive yake.
Yeye anajua moyoni timu pinzani haitapata nafasi ya kusawazisha na kwa hiyo atakuwa ame balance stori zote. Kila timu itaonekana haimtaki lakini mission yake inakuwa imekamika.
Kuepuka utata wa waamuzi, TFF iamue kwa maksudi kuleta waamuzi kutoka nje ya nchi. Kunaweza kutokea balaa mkiweka hawa akina kayoko na Aragija wenu.
Ninawatahadharisha mapema, kwa kuwa waamuzi wenu wanafanya makosa na hamtoi maelezo mnaachia vyombo vya propaganda ndivyo vinatolea maelezo.
Pia inaonekana kuna watu wana bet na wamo kwenye timu na ni viongozi kampuni za betting. Ni hatari sana kuruhusu kiongozi wa betting anakuwa mnazi wa timu fulani.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app