Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Mkuu hua kuna matusi ya furaha*UONEVU NI NINI*
Uonevu ni pale team inakuuzia Bocco, Manula, Nyoni, Kapombe na bado mkikutana inakupiga [emoji1][emoji1]
[emoji1] [emoji1]DAH!!!!!
[emoji1][emoji1][emoji1]
Watani kazi wanayo mwaka huu,kikosi chao bln 1Simba ni wachumba kwa azam
[emoji23] [emoji23]Mkuu hua kuna matusi ya furaha
We pumbavu kweliiii...
Hafu waliochangia ni watangazaji
Unasikia etu
Bookooooooooooooo..
Wakikutana sijui ni kipi kinatokea[emoji23] [emoji23] [emoji23]
*UONEVU NI NINI*
Uonevu ni pale team inakuuzia Bocco, Manula, Nyoni, Kapombe na bado mkikutana inakupiga [emoji1][emoji1]