Kwa hiki azam wanachowafanyia simba ni uonevu uliopitiliza

Kwa hiki azam wanachowafanyia simba ni uonevu uliopitiliza

inakuwa kama hivi mchizi akutane na demu "x" wake na ukumbuke "hawala hana talaka!"
 
Azam ni timu nzuri na haina mizengwe ya usajiri kama hizi timu tunazo zishabikia.

Kwenye ligi yetu hakuna timu yenye uhakika wa kuifunga Azamu.

Mpaka sasa Azam haijafungwa kwenye ligi ya VPL.
 
Simba wapo kwenye kikao kizito wanamtafuta mchezaji wa azam mwenye kadi mbili za njano ktk ile mechi hakutolewa nje na mwamuzi.
 
Back
Top Bottom