Kwa hiki kilichotokea; Watumishi wa umma bora wafe tu

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema watumishi wa umma wasipoweza kuondoa viongozi dhalimu bora wafe tu.

Nakubaliana na Mwalimu Nyerere ila najiuliza kama watumishi wa umma ni waoga na wameshindwa kuondoa viongozi dhalimu na kumwachia Rais kazi hiyo peke yake! Kweli tupo tayari kuwanenea kifo?

Tukumbuke watumishi wa umma ni wadogo zetu, wakubwa zetu, wazazi wetu na ndugu zetu. Tunakubali wameongeza unafiki na wanastahili kufa ila kama Taifa tupo tayari kuhimili majonzi yatakayotokea?

Wakifa sisi ambao siyo watumishi wa umma tutaweza kuwaondoa viongozi dhalimu? Kama tunaamini tunaweza kwanini tusianze sasa ambapo ndugu zetu watumishi wa umma wapo hai ili wajifunze?
Sehemu yoyote ambayo mtumisi anajihisi amepata kazi kama FEVA, hawezi pambania haki yake..!!
 
Naskia leo wamesema patakua na mvua kubwa huko daslam, kwani kuna nini tena huko umani...😳
 
Wazungu Wanasemaga “ If you stand for a reason be prepared to stand alone like a tree 🌳 and if you fall fall like a seed that grows back to fight again “
🙏🙏
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema watumishi wa umma wasipoweza kuondoa viongozi dhalimu bora wafe tu.

Nakubaliana na Mwalimu Nyerere ila najiuliza kama watumishi wa umma ni waoga na wameshindwa kuondoa viongozi dhalimu na kumwachia Rais kazi hiyo peke yake! Kweli tupo tayari kuwanenea kifo?

Tukumbuke watumishi wa umma ni wadogo zetu, wakubwa zetu, wazazi wetu na ndugu zetu. Tunakubali wameongeza unafiki na wanastahili kufa ila kama Taifa tupo tayari kuhimili majonzi yatakayotokea?

Wakifa sisi ambao siyo watumishi wa umma tutaweza kuwaondoa viongozi dhalimu? Kama tunaamini tunaweza kwanini tusianze sasa ambapo ndugu zetu watumishi wa umma wapo hai ili wajifunze?
😆😆😆😆😆😆😆😆😆
 
Msome Mwalimu Nyerere acha kupuyanga! Hata post ujasoma inalenga nini
Mwalimu Nyerere ameandika vitabu vingi sana ni kipi alichotamka maneno hayo? Kama umesikiliza speech yake huko You Tube unataka kusema kuwa kuna speech moja tu ya Nyerere huko? Wewe ndiye unapuyanga na kuandika ujinga tu.
 
Kuwaondoa viongozi dhalimu ni jukumu la wananchi wote na si watumishi wa umma peke yao.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema watumishi wa umma wasipoweza kuondoa viongozi dhalimu bora wafe tu.

Nakubaliana na Mwalimu Nyerere ila najiuliza kama watumishi wa umma ni waoga na wameshindwa kuondoa viongozi dhalimu na kumwachia Rais kazi hiyo peke yake! Kweli tupo tayari kuwanenea kifo?

Tukumbuke watumishi wa umma ni wadogo zetu, wakubwa zetu, wazazi wetu na ndugu zetu. Tunakubali wameongeza unafiki na wanastahili kufa ila kama Taifa tupo tayari kuhimili majonzi yatakayotokea?

Wakifa sisi ambao siyo watumishi wa umma tutaweza kuwaondoa viongozi dhalimu? Kama tunaamini tunaweza kwanini tusianze sasa ambapo ndugu zetu watumishi wa umma wapo hai ili wajifunze?
Kada ya Elimu basi tu Mkuu
 
Sijakuelewa mfano mimi ni mtumishi muhasibu wa ttcl mkoa wa songea enhe naanzaje kumuondoa kiongozi dhalimu au unamaanisha nini fafanua yaani nife tu ndo unachotaka
Siku KIKOKOTOO kimekutwishwa kichwani huta subiri ushauri...tumbo halina laifuspani
 
Back
Top Bottom