Kwa hiki kilichototea bungeni. Je, kwa ubabe huu tunahitaji katiba mpya au Watanzania tuamke tudai nchi yetu?

Kwa hiki kilichototea bungeni. Je, kwa ubabe huu tunahitaji katiba mpya au Watanzania tuamke tudai nchi yetu?

hiyo maandmano ndiyo shughuli ya maendeleo?
Hapana.

Maandamano sio shughuli ya maendeleo ila ni shughuli inayoweza kuchochea mabadiliko na kuleta fikra chanya kwa viongozi wasiotaka kubadilika na kuleta unafuu kwenye maisha ya mtanzania wa hali ya chini.

Maandamano ni njia ya kuonyesha kwamba wananchi haturidhishwi na utendaji wa kiongozi au na utolewaji wa huduma au haki muongoni mwetu.

Maandamano ni njia ya kuwashinikiza kuwakumbusha na hata kuwalazimisha kwa nguvu viongozi wanaoenda kinyume na katiba na sheria kufuata katiba na sheria.

Ndiyo maana nchi zinazojielewa zote maandamano hayapigwi marufuku kama alivyofanya yule mungu wenu jiwe.

Umeona wafanyabiashara wa kariakoo walivyogoma viongozi wa serikali walikuja kuwasikiliza na kuyajenga na nchi ndiyo inatakiwa iendeshwe hivyo.
Hivi mkiachwa mnaandamana hata kila siku mtabadilisha nini?
Kama hatutabadilisha kitu kwanini mnatumia nguvu kubwa kuzuia maandamano.

Mnatumia mpaka jeshi la wananchi kuzuia maandamano kijanja achilia mbali poliCCM.

Kama hatutabadilisha kitu si mtuache.
Unato mfano wa watu wapumbavu km wakenya?
Haya ni mawazo yako tu.

Kenya wapo juu yetu kiuchumi kisiasa na hata kielimu.

Mtu aliyekuzidi vitu hivyo katu hawezi kuwa mpumbavu.
Acheni upumbavu fanyeni kazi, mbona wakulima hawa muda huo wa kijinga nyakati zao za kilimo
Hata wakulima wanaisoma namba kama watanzania wengine.
Jiwe alivyoharibu kilimo cha korosho mtwara usifikiri wakulima walifurahi.

Ni uoga wetu tu watanzania ndo ulifanya wakae kimya.
Wakulima ni mfano mzuri wa wachapakazi nchi hii hawana malalamiko ya kipuuzi
Hapa umeamua tu kudanganya.

Wakulima mpaka sasa hawana soko la uhakika la bidhaa zao na wakiuza wanauza kwa bei ya hasara kupitia madalali bado useme hawalalamiki na ni wachapa kazi.Una matatizo sio bure.
Ingekua enzi ya jiwe angewanyanganya na leseni kabisa,
Huu ni ubabe na ni kinyume kabisa cha katiba na sheria.

Ubabe aujawahi kuwa staili nzuri ya kuongoza na mwisho wake uwa ni mbaya sana.
Mambo ya kipuuzi mengine hayawezi kujitokeza.
Maandamano kupinga huduma mbovu au maamuzi mabovu ya viongozi sio mambo ya kipuuzi ni mjinga tu ndo anaweza kudhani hivyo.
 
Mbona hata sasa aiheshimiwi na hiyo kazi nyingine hatuioni?
Haiheshimiwi kwa sababu kuna zuzu mmoja amepewa madaraka makubwa ya kuinyaga na wale machawa wake wanaringa kwa kuwa hawara yao anawalinda. Hiyo kinga ambayo ndio leseni ya wizi ndio wanayo ringia
 
Habari jf,

Hiki kiilichotokea bungeni sio mara ya kwanza kwa mambo kupitishwa kwa nguvu. Sasa kwa huu ubabe unaona kabisa katiba mpya inaweza isiwe suluhu ya hili tatizo .

Bil 47 za posho zimepitishwa kwa nguvu ,watanzania tuko kimya hivi tunashida gani ? Hawa CCM watakuja mitaani ambako ndiko tuko walipa kodi wa hizo bilioni 47 za mkopo .

Kibaya Zaidi kwa maslahi ya muda mfupi watanzania tutavaa sare zao, kofia na kuunga juhudi hiki Chama kirudi tena hivi tuna shida gani?

Je, tuendelee kuomba katiba au tuangalie namna ya kutoa hii CCM?

Je nini kifanyike ? Tulipe hizo bil 47 ,tuache kulipa kodi na kwenda makazini? Au tuache kushirikiana kwa jambo lolote na CCM ? Au tuwasubiri uchaguzi 2025 tuwatoe?

Mwacheni Mabula amalizie ghorofa yake ya Nyasaka-Maduka Center!
 
Binadamu siku zote ni mbinafsi; hata sisi tungekuwa mle ndani tungefanya hayo hayo kwa maslai yetu binafsi
 
Habari jf,

Hiki kiilichotokea bungeni sio mara ya kwanza kwa mambo kupitishwa kwa nguvu. Sasa kwa huu ubabe unaona kabisa katiba mpya inaweza isiwe suluhu ya hili tatizo .

Bil 47 za posho zimepitishwa kwa nguvu ,watanzania tuko kimya hivi tunashida gani ? Hawa CCM watakuja mitaani ambako ndiko tuko walipa kodi wa hizo bilioni 47 za mkopo .

Kibaya Zaidi kwa maslahi ya muda mfupi watanzania tutavaa sare zao, kofia na kuunga juhudi hiki Chama kirudi tena hivi tuna shida gani?

Je, tuendelee kuomba katiba au tuangalie namna ya kutoa hii CCM?

Je nini kifanyike ? Tulipe hizo bil 47 ,tuache kulipa kodi na kwenda makazini? Au tuache kushirikiana kwa jambo lolote na CCM ? Au tuwasubiri uchaguzi 2025 tuwatoe?

Nimekaribu ku THINK BIG nikaingia ubia na ben Carlson,

Baadae ya serikali ya Sasa kua na mlengo wa democrasia na utawala wa KATIBA,

Kutokana na Bunge lote kua la chama Cha CCM baada ya ule uchafuzi wa 2020,

Wanaanza kutufanyia futuhi (Drama) Ili ionekane kana kwamba Kuna minyukano ya hoja na sio bunge la NDIYO......

Ni maoni yangu Kwa mtazamo wangu..
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Waliambiwa jambo lile litarudishwa kamati ya bajet kule bajet ilikotengenezwa kufanya marekebisho, we ulitaka waendelee kubishana pale bungeni kuonesha ufundi wa ubishi? Ingebadilisha nini hata wangekaa wiki nzima kubishana? Serikali ya mama yetu ni sikivu tuiamini wametuambia watafanya marekebisho kwenye kamati ya bajeti kabla bunge halijamaliza muda wake. Tuwe na positive attitude, wabunge waliona mapungufu serikali imekubali kuyarekebisha mnataka tuwafanyeje tena? Yaani watanzania walivyo na roho mbaya wakikupata na upungufu flani wanataka sijui wakufanyeje. Hata kingeingia chama gani watu ni hawa hawa mapungufu yataendelea kuwepo
Hata huku marekani nao wana mapungufu yao lkn yetu ni kijinga kupita kiasi.
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Nadhani ni wakati wa kufanya tathmini,tafakuri ya lengo,dhima,mamlaka na kazi za bunge kwa ujumla?

[emoji736]Je kweli bunge lina mamlaka linalopaswa kuwa nayo?

[emoji736]Je wanaoitwa wabunge kweli wanastahiri kuwa wabunge kwa muktadha wa uwezo,ufahamu,nidhamu,Intergrity,credibility?

[emoji736]Gharama tunazotumia kuendesha bunge na matokeo tunayopata ni sahihi? Value for money?

[emoji736]Je ni kweli wabunge wanawakirisha wananchi ktk utendaji wao wa majukumu?..

[emoji736]Je wabunge wapo accountable kwa wananchi?

[emoji736]Kiuhasilisia,Wabunge wanaguswa na maslahi ya nchi na taifa?
Maoni bora kabisa
 
Habari jf,

Hiki kiilichotokea bungeni sio mara ya kwanza kwa mambo kupitishwa kwa nguvu. Sasa kwa huu ubabe unaona kabisa katiba mpya inaweza isiwe suluhu ya hili tatizo .

Bil 47 za posho zimepitishwa kwa nguvu ,watanzania tuko kimya hivi tunashida gani ? Hawa CCM watakuja mitaani ambako ndiko tuko walipa kodi wa hizo bilioni 47 za mkopo .

Kibaya Zaidi kwa maslahi ya muda mfupi watanzania tutavaa sare zao, kofia na kuunga juhudi hiki Chama kirudi tena hivi tuna shida gani?

Je, tuendelee kuomba katiba au tuangalie namna ya kutoa hii CCM?

Je nini kifanyike ? Tulipe hizo bil 47 ,tuache kulipa kodi na kwenda makazini? Au tuache kushirikiana kwa jambo lolote na CCM ? Au tuwasubiri uchaguzi 2025 tuwatoe?

Kutoka 14:14
BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Kesho wajinga utawaona wamevaa matisheti na makofia yakishangilia
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Elimu ya Uraia juu haki

Elimu juu ya haki za Raia na Wajibu Mihimili ya Dola kwa Raia itolewe katika ngazi zote. Hayo yote lazima yasemwe na KATIBA . Katiba ndiyo inayotoa dira nini kifanyike na mwelekeo ni upi.
1. Kwa Mfano nini umhimu wa uchanguzi wa viongozi wa Kisiasa
2. Wajibu wao ni nini wanapochagulia
3. Wakishindwa kutimiza majukumu yao wanawajibishwa vipi?
4. Viongozi wa chaguliwa ni.watumishi wa Wananchi na siyo mabwana. Nk nk
Bila katiba inayompa nguvu Raia mambo kama hayo ya ubabe Bungeni yataendelea
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom