Kwa hiki nilichokisikia Leo Wasafi FM huenda yale maneno ya ' Kashfa ' ya Kocha Luc Eymael kwa Uongozi wa Yanga alikuwa sawa

Leo umeteleza kidogo, Mwajiriwa akipewa Mkataba mpya ni jukumu na haki kusaini ( kukubaliana) au kutosaini ( kutokukubaliana na Mkataba mpya) hivyo hilo tumpe Papy Uhuru afanye anavyotaka!
 
Unawakwaza watu
Ligi ishaisha zungumzia tim yako ya simba wanaanza usajili , gadiel kaomba kurud yanga...
 
Tshishimbi leo kawasema kama kocha wao anashangaa katibu wao kukimbilia kwenye vyombo vya habari kuongelea issue ya mkataba wake na kuonyesha jinsi gani katibu wao asivyo na uelewa wa mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…