Kwa hiki ninachokiona kwenye pdf za utumishi, kozi za afya na zenyewe ni kama zimeanza kujaa

Nafasi moja au mbili ya medical doctor kugombaniwa na watu 600+ ni ishara kwamba tuna medical doctors wengi tu mtaani wako jobless.
Ni kuwa serikali haina fdha za kuajili. Ratio ya MD to patients according to WHO inabidi iwe as per this quotation
According to World Health Organization, the Tanzanian doctor to patient ratio stands at 1 for every 20,000 patients, whereas the recommended ratio should be one to 300 patients. This shows that our country is in a great need for doctors...This as of 20 Apr 2021
 
Tatizo pia la wabongo tunaogopa kuzamia nje ya nchi sio lazima wote waajiriwe bongo.. tujiongeze jamani..
 
Nafasi moja au mbili ya medical doctor kugombaniwa na watu 600+ ni ishara kwamba tuna medical doctors wengi tu mtaani wako jobless.
Kada za Afya hazitajaa kwa urahisi hivyo.
Waliopo kwenye utumishi ni nusu ya mahitaji kabla ya 2015
Kwa kasi nzuri ya Serikali katika kuongeza Idadi ya vituo vya Afya na Hospital nchini itafanya mahitaji yawe zaidi ya robo tatu ya waliopo endapo Serikali haita ajiri kulingana na ikama/mahitaji.
 
Madaktari wamekuwa wengi kuliko wagonjwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawagonjwa sasahivi wanajitibu wenyewe..mtu anagugo dalili za ugonjwa kisha anenda famasi kupata dawa.

Wagonjwa wengine wamejazana kwa mwamposa.

Ukiona mtua anenda hospitali jua kajitibia kashindwa kupona ndio anajisogeza hospitali.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kada za Afya hazitajaa kwa urahisi hivyo.
Waliopo kwenye utumishi ni nusu ya mahitaji kabla ya 2015
Kwa kasi nzuri ya Serikali katika kuongeza Idadi ya vituo vya Afya na Hospital nchini itafanya mahitaji yawe zaidi ya robo tatu ya waliopo endapo Serikali haita ajiri kulingana na ikama/mahitaji.
Mwajiri mkubwa ni serikali..hakuna siku itaweza ajiri graduates wote wa afya..na hivi kila mwaka vyuo vinaongeza idadi ya wahitimu...endelea kujioa moyo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuna kujenga halafu kuna kuajiri, watu wanataka mishahara serikali haina uwezo matokeo yake wataajiri wachache...

Back
Top Bottom