Kwa hiki ninachokiona kwenye pdf za utumishi, kozi za afya na zenyewe ni kama zimeanza kujaa

Kwa hiki ninachokiona kwenye pdf za utumishi, kozi za afya na zenyewe ni kama zimeanza kujaa

Nawagonjwa sasahivi wanajitibu wenyewe..mtu anagugo dalili za ugonjwa kisha anenda famasi kupata dawa.

Wagonjwa wengine wamejazana kwa mwamposa.

Ukiona mtua anenda hospitali jua kajitibia kashindwa kupona ndio anajisogeza hospitali.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ni huyo mimii
 
Do we have qualifications as per their standards? magufculi alikisideline kiingereza, unakwenda nje kuongea lugha gani? Kiswahili?
Lugha muhimu ndio lakini hii kwa sasa sio sera ta taifa, so ni mtu mwenyewe kujiongeza kujua lugha na kuzamia mwenyewe nje
 
Back
Top Bottom