Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #21
Kweli MkuuHalafu kuna Waafrika wenzangu (weusi) utashangaa likitokea timbwili la Russia vs USA, wengi wao wanakuwa upande wa Russia.Hawa Warusi ni wabaguzi kinoma! Pamoja na kwamba Marekani ubaguzi bado ungalipo,lakini Urusi wamezidi.Kwa ufupi,nchi za Mashariki (za Kijamaa) zina ubaguzi mkali zaidi kuliko nchi za Magharibi (za Kibepali).Mfano,Angalia tofauti ya maisha ya Mwislamu anayeishi China na yule anayeishi US.