Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
Habari yako nifah?Nitakua mnafiki nikipita kimyakimya bila kusema neno kwako Dinazarde, kwanza naomba niweke wazi kua tamko lako hili limenifurahisha sana.
Sijafurahi sababu ya ule upinzani wetu humu uliozoeleka wa Kiba vs Mondi...lah!
Nafurahi kuona wadada wenzangu tunaamka namna hii, sasa tunaelewa matatizo yetu kama Watanzania.
Tumeamua kwa nia ya dhati kabisa kuwa sehemu ya mabadiliko yanayokwenda kuondoa serikali dhalimu ya CCM madarakani.
Nimefurahi sana, hongera zako.
Sikuwahi kufikiria hata siku moja kuwa Dina ana upeo mkubwa kiasi hiki katika masuala ya maslahi ya taifa!Ni furaha iliyoje kuona wana celebrities tumeamka kiasi hiki?
Tumewazidi hata hao wanaojiona wakongwe wa siasa humu JF!
Kuanzia Leo Mimi sio shabiki wa Daimond najivua gamba navaa gwanda..
Diamond sio mama yangu wala Baba yangu, amepata pesa kawa na kiburi kasahau alipotoka anajifanya hajui CCM ilivyotunyoosha na inavyoendelea kutunyoosha ye anaishabikia na kuweka sababu za kipuuzi.. Zari kajifungulia hospital nzuri aje aangalie huku hospital za kawaida watu wanavyohangaika, hakuna huduma,hakuna madawa, vifaa hakuna, hakuna ajira, maskini tunakandamizwa kwa kulipa kodi, vijana wanasoma lakin ajira hazipo.
Kuitwa Ikulu, Kula Dina sijui wamepewa na nini wamevimbiwa, wanahamasisha tuchague CCM kasahau alivyokua anauza mitumba, CCM ingekua nzuri angesomeshwa bure, elimu ya sekondari ingekua bure nae angeipata.
Yote hiyo ni tunalaumu CCM kwani ndio iliyoshikilia madaraka, na wengine mkome kusema Lowassa ana uchu wa madaraka anaizidi CCM? Mbona nayo haitaki kutoka?
Tunataka mabadiliko kama Baba yako ni Kinana shabikia CCM, kama mama yako ni Tibaijuka shabikia CCM.
CCM tumewachoka!
Cc heaven on desert, TeamLowassa
Wewe utakuwa una akili ya ki-LE MUTUZ...................................Kwahiyo wewe usipomshabikia anapungukiwa nini?Ninyi ndo wale mkisaidia mtu hata MIA mtaa mzima wanajua.Endeleeni kwa kumtegemea MBOWE na mkwewe MTEI wajenge MIJUMBA DUBAI huku mnasubira wachagga waje wawape unafuu wa maisha.SAFARI NJEMA Amma karibu TeamKimba N.B.MWAMBIE NA MBOWE ASITISHE URAFIKI NA WANACCM WOTE NA ASIPIGE NYIMBO ZA DIAMOND PALE KWENYE DANGURO LAKE BILICANUS NA KILA ANAEENDA PALE AONESHE KABISA HAIUNGI MKONO CCM au awe na kadi ya CHAGGADEMA........................................................Kuanzia Leo Mimi sio shabiki wa Daimond najivua gamba navaa gwanda..
Diamond sio mama yangu wala Baba yangu, amepata pesa kawa na kiburi kasahau alipotoka anajifanya hajui CCM ilivyotunyoosha na inavyoendelea kutunyoosha ye anaishabikia na kuweka sababu za kipuuzi.. Zari kajifungulia hospital nzuri aje aangalie huku hospital za kawaida watu wanavyohangaika, hakuna huduma,hakuna madawa, vifaa hakuna, hakuna ajira, maskini tunakandamizwa kwa kulipa kodi, vijana wanasoma lakin ajira hazipo.
Kuitwa Ikulu, Kula Dina sijui wamepewa na nini wamevimbiwa, wanahamasisha tuchague CCM kasahau alivyokua anauza mitumba, CCM ingekua nzuri angesomeshwa bure, elimu ya sekondari ingekua bure nae angeipata.
Yote hiyo ni tunalaumu CCM kwani ndio iliyoshikilia madaraka, na wengine mkome kusema Lowassa ana uchu wa madaraka anaizidi CCM? Mbona nayo haitaki kutoka?
Tunataka mabadiliko kama Baba yako ni Kinana shabikia CCM, kama mama yako ni Tibaijuka shabikia CCM.
CCM tumewachoka!
Cc heaven on desert, TeamLowassa
Bosslady acha kupanic, kanyonyeshe..
Yaani wameniongezea hasira za kuvote kwa Chibu wangu!!na vote kama sina akili nzuri yaani,kila nikipata kiupenyo mi navote tuuu kwenye tuzo zote za DIAMOND
Walionuna waendelee kununa kama Dkt W.Slaa wakiwa tayari kujumuika na sisi watatukuta mbele ya safari.Kivyao yaani muda wa kubembeleza hakuna,ni kuvote tu
Mnuno wao watapinda midomo tu na kuzeeka sura mapema
kupiga kura kama kawa tupo pamoja
UKAWA wameahidi kuwafanyia nini???????????????????????????????CCM waliahidi watawajengea wasanii studio ya kisasa na kuwashuhulikia kutatua matatizo ya hati miliki ya kazi zao. VIKO WAPI HIVYO? wajinga ndio waliwao. Teh Teh Teh sitawaangusha
UKAWA wameahidi kuwafanyia nini???????????????????????????????
UKAWA ikipata nafasi aitoi ahadi hewa ila itatekeleza itakavyoweza.