Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

NJAA MBAYA,Mtu unauza kura yako kwa laki 3 tu na sahani ya chakula?
 


kumbe unawapangia siku ya kumpamba magufuli!!... wot if waliamua kumpamba baada ya kukutana nae juzi wakati Jk anawaaga wasanii na magufuli akaeleza ambacho atawafanyia wasanii hivyo waliopenda wakaamua kumpa support....kuna ubaya hapo!!
 

nakuheshimu sana ... najua we ni mpenzi wa Diamond na Ukawa pia ila unachotakiwa kujua si kwa vile we unaamini katika hayo unayoyaita mabadiliko kila mtu anaamini hivyo, kila mtu ana uhuru wake wa kufikri na kuchagua, Diamond kaamua kuchagua kumpigia kampeni Magufuli, nchi yetu inaweza ikawa ina kila aina ya shida lakini Diamond ameamua kuwa na imani na Magufuli kama wewe ulivyokuwa na Imani na Lowassa, asa shida ipo wapi mamii!!.

Aina ya chuki ambayo unaitaja ni sawa na kwa mfano mtu alikuwa ameokoka lakini anazipenda nyimbo za Diamond, halafu akaja kusikia Diamond ni muislamu (no offense) aje kusema hampendi tena Diamond kisa ni muislamu!!!! kitu ambacho machoni pa wenye hekima ataonekana ni mpumbavu.

pamoja na yote hayo una uhuru wa kumpenda au kutompenda msanii yeyote yule unayemtaka, THIS IS A FREE NATION.
 


we hautaki awashawishi mashabiki zake hao ni mashabiki wako??..... tuache hilo, Diamond sio lazima abaki nalo moyoni huu ndo wakati wa kampeni yeye kaamua kumfanyia kampeni Magufuli kuna tabu gani!!!... mbona mnamlazimisha abaki nalo moyoni wakati kuna wasanii wengine kibao wanawapigia kampeni na kushawishi watu wawapigie UKAWA hamuongei...tuacheni fikra za kichovu
 
anyway, kaamua na anaijua hadhira yake... kuna atakaowapoteza.. na kuna atakaowaongeza.. lazima amefikiria yote hayo..
kiufupi, kajitoa mhanga kwelikweli
.
 
anyway, kaamua na anaijua hadhira yake... kuna atakaowapoteza.. na kuna atakaowaongeza.. lazima amefikiria yote hayo..
kiufupi, kajitoa mhanga kwelikweli
.

Kama walivyoamua kumpenda bila shuruti basi wanaweza kutompenda bila hata sababu
 
Hakuna kitakachomgharimu kitu diamond kwasababu;

1. Yawezekana mtoa mada hujawahi kununua muziki wa diamond au kuingia kwenye show yake kumchangia kukua muziki wake...so haileti tofauti.

2.kama ulivyo mtafuta pesa, basi naye vivyo hivyo pia...ametumia fursa.

3. Mtazamo wako na muegemo wako si lazima ulingane au ushabihiane na kundi la watu fulani...ndio maana yeye ni muislam lakoni hata wakristu wanampenda pia. Wewe ni ukawa lakini playlist yako bado ina nyimbo zake nyingi.

4. Uchaguzi ni kipinsi kifupi na cha mpito...baadayebutasahau haya yote. Mfano, ccm ilitumia wasanii kioindi cha nyuma na bado tukaendelea kuwapenda.

5. Diamond kaonesha msimamo. Tangu mwanzo aliimbia ccm, na hata lowasa alipotangaza nia bado alikuwa naye siku wa uzinduzi pale Arusha.

Big up kwa baba Tiffah, kuwa na msimamo na kutoyumba kutokana na kuhadaiwa kijinga. Thumb up chibu.
 
Ajiandae kusaulika kama Marlow .watu wanafikilia kila pesa ni halali yao nyngine ni pes fake ukichukua tuu jera inakuhusu bor ata angekuwa neutral ili kumaintain status yake
 

Mkuu aliwaonyesha jinsi El atakavyokatwa tena kwa mara ya pili. Dogo ana uhakika wa serikali ijayo.

Kama ni huruma zako zihamishie kwa ndugu, jamaa ,marafiki, majirani zako walio na hali mbaya kimaisha.

Diamond ameshazivuna sana hupaswi kumuonea huruma.
 
Ajiandae kusaulika kama Marlow .watu wanafikilia kila pesa ni halali yao nyngine ni pes fake ukichukua tuu jera inakuhusu bor ata angekuwa neutral ili kumaintain status yake

Labda atasahaulika kwako ila usitegemee kama atashuka kwasababu ya yeye kumpenda Magufuri
 

Umemaliza kila kitu
 
Me. Sio politician natoa. Advicee tu kwa msanii yeyote hutakiwi kuaonesha uko upande gan wa chama. Isipokuwa tu ukiitwa kuburudisha watu
 
Eti wimbi,kwani walioondoka ni wangapi mpaka liitwe wimbi?naona kama tunakuza mambo tu........

Unaota ndoto kwani ww si una chama unachoshabikia km huna la kuongea kaa kimya hilo ndo chaguo lk km ww ulivyo na chaguo lako
 

Nakuonea huruma wewe usiyejua maana ya vyama vingi ama kweli bado mpo gizani chama unachoshabikia sy lazima na yy ashabikie humpumguzii chochote usipokuwa mshabiki wake
 
Ninachokiona hapa ni kwamba.......watu hawamchagulii Diamond chama cha kushabikia isipokuwa wameumia sana kuona mtu wanaempenda anasupport chama lenye lishachokwa na watanzania.
 
Jamaa hana haya wala hiyana, ccm yupo act napo yupo, sasa huyu ni act au ccm tumweleweje?

watanzania wengi hawaelewi wapo wapi ccm au ukawa maana they are puzzled. Let a boi live
 

Well said.
Amesahau ya Marlaw!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…