Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washabiki wa lowassa wapumbavu sana,,,
bila aibu eti "Dogo anaanza kuniboa sasa hadi Mimi .
Khaah,,,kwani we nani!?
Na wew umetoa povu ila hakuna point uliyoandika.. Magufuli amechaguliwa na ccm kama wiki 4 zilizopita huo muda wote hao wasanii walikua kimya hakuna hata mmoja aliye msupport huyo magufuli. Leo hii wasanii wote wameamka huko instagram wameanza kumpamba magufuli ambapo kwa mtu makini lazma ajiulize why today? Na kwan nn wasanii wote. Tukiconnect dots tunapata majibu kwamba kuna amri imepita kwa hawa wasanii.au wamenunulika tena wote..
Nashukuru BADILI TABIA kwa kunielewa na wengine PIA,msionielewa its ok lakin nafs zinawasuta vijana tunahitaji mabadiliko,hatutaki watawala tunataka viongozi,kipindi anaingia Kikwete mlisifia msafi ,mzuri lakin kaboronga kila kitu hata Richmond anahusika yeye ndio maana haongelei Hilo,sasa tunamtaka huyo mchafu ndio atuongoze atasafishika Tu,mmempa Richmond na escrow mnapa nani mbona mpo kimya kwa Hilo,Diamond aangalie wananchi wanataka nini aendele Tandale kule aangalie anasahau alipotoka,ye Ni mtu maarufu Ana mashabiki na ndio keshatugawa hivyo hili swala Ni la nchi ingekua mpira sawa,we unaesema nna chuki ndio nna chuki tena kubwa nikiona watu wanavyokufa kwa kukosa huduma,kwa hili Daimond angekaa kimya Tu akaenda mpa kura magufuli,sijasema waniletee pesa tunataka huduma nzuri za kijamii kama wameshindwa ccm na miaka yote wanatawala tunataka mabadiliko,watoto wapate elimu bora,tupate maji safi,yaan hapa wengine mnajifanya kuniponda wakati hata maji ya chupa mnaishiaga kuyaona dukani,mbona nchi zingine zimeweza,sie tusiweze kwa nini,madini tunayo lakin tunaachiwa mashimo Tu,Ni hivi msituibie Tu kura zetu SI mshazoea kuiba safari hii patachimbikaaa tumechoka ,ukiona umebanana kunywa maji baridi yatakupunguzia mhemko msijifanye wote matajiri hapa hamjui maisha ya watanzania wanavyoishi alaaaa
Ni hivi swala sio MONDI KUFUATA WAKIPENDACHO MASHABIKI ILA ILITAKIWA ABAKI NALO MOYONI HILO ANALOLIPENDA HADI OCTOBER-25TH AKAWAPE KURA YAKE NA SIO ALIVYOFANYA MAANA KWA TAFSIRI RAHISI ALICHOFANYA NI KUSHAWISHI WATU HASA FOLLOWERS WAKE JUU YA KUMCHAGUA MAGUFULI...ALAFU KWANINI IWE MARA BAADA YA HAFLA YA M.CITY NDO AFANYE HAYO KAMA SIO KUNUNULIWA KWA MLUNGULA AU AHADI FEKI ILI WAWASHAWISHI WATZ???..MAANA WASANII WANA USHAWISHI MKUBWA KWA JAMII INAYOWAZUNGUKA.
anyway, kaamua na anaijua hadhira yake... kuna atakaowapoteza.. na kuna atakaowaongeza.. lazima amefikiria yote hayo..
kiufupi, kajitoa mhanga kwelikweli
.
na usiache kuwataja ambao hwakumpenda hapo mwanzo... ila kwa hatua hii, wamekolezwa vibaya mno!Kama walivyoamua kumpenda bila shuruti basi wanaweza kutompenda bila hata sababu
Diamond platnumz kaonesha wazi msimamo wake katika mgonbea anayemtaka yeye. Sipingani na maamuzi yake, ila naona kama alikurupuka kufanya maamuzi hayo. Diamond angetambua kuwa washabiki wake wengi wanaompa support hawapo katika mrengo anaoushabikia yeye.
Nimepitia baadhi ya comments za followers wake na kugundua kuwa 90% wamekuwa disappointed sana na alichokionesha.
Halafu ukiangalia ni kama wametumwa hivi baada ya ile hafla yao na mheshimiwa. Maana baada ya pale wasanii kibao wamekurupuka kuonesha support kwa Magufuli.
Kinachoendelea saiv ni kwamba washabiki wameanzisha kampeni ya kutomsapport tena Diamond kwa kuacha kumpigia kura katika tunzo anazoshindania.
Namuonea huruma sana..
Ajiandae kusaulika kama Marlow .watu wanafikilia kila pesa ni halali yao nyngine ni pes fake ukichukua tuu jera inakuhusu bor ata angekuwa neutral ili kumaintain status yake
nakuheshimu sana ... najua we ni mpenzi wa Diamond na Ukawa pia ila unachotakiwa kujua si kwa vile we unaamini katika hayo unayoyaita mabadiliko kila mtu anaamini hivyo, kila mtu ana uhuru wake wa kufikri na kuchagua, Diamond kaamua kuchagua kumpigia kampeni Magufuli, nchi yetu inaweza ikawa ina kila aina ya shida lakini Diamond ameamua kuwa na imani na Magufuli kama wewe ulivyokuwa na Imani na Lowassa, asa shida ipo wapi mamii!!.
Aina ya chuki ambayo unaitaja ni sawa na kwa mfano mtu alikuwa ameokoka lakini anazipenda nyimbo za Diamond, halafu akaja kusikia Diamond ni muislamu (no offense) aje kusema hampendi tena Diamond kisa ni muislamu!!!! kitu ambacho machoni pa wenye hekima ataonekana ni mpumbavu.
pamoja na yote hayo una uhuru wa kumpenda au kutompenda msanii yeyote yule unayemtaka, THIS IS A FREE NATION.
Eti wimbi,kwani walioondoka ni wangapi mpaka liitwe wimbi?naona kama tunakuza mambo tu........
Diamond platnumz kaonesha wazi msimamo wake katika mgonbea anayemtaka yeye. Sipingani na maamuzi yake, ila naona kama alikurupuka kufanya maamuzi hayo. Diamond angetambua kuwa washabiki wake wengi wanaompa support hawapo katika mrengo anaoushabikia yeye.
Nimepitia baadhi ya comments za followers wake na kugundua kuwa 90% wamekuwa disappointed sana na alichokionesha.
Halafu ukiangalia ni kama wametumwa hivi baada ya ile hafla yao na mheshimiwa. Maana baada ya pale wasanii kibao wamekurupuka kuonesha support kwa Magufuli.
Kinachoendelea saiv ni kwamba washabiki wameanzisha kampeni ya kutomsapport tena Diamond kwa kuacha kumpigia kura katika tunzo anazoshindania.
Namuonea huruma sana..
Jamaa hana haya wala hiyana, ccm yupo act napo yupo, sasa huyu ni act au ccm tumweleweje?