Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Shit!!
 
Nimejiuliza hili swali sipati majibu hebu naomba tujadili waungwana ili binafsi nielwwe nn kinachomfanya huyu Diamond na wenzie wengi ambao awali walikuwa upande wa lowassa lkn baada ya dinner na Mh. Wakageukia ccm Je? Nini kilichowasibu
Yaaani wewe unategemea serikali poleee.serikali ni tatizo
 

Mkuu, diamond anafanya biashara amelipwa yule, hata ww ukimlipa atakuja kutumbuiza nyumbani kwako, usiingize siasa kwenye biashara.
 
uyu boya nlikua nampigia kura mpka vidole vinauma "inanipa sms u hv reached the maxmum 20 per day!! sasa ivi amwambie Jk na magufuli ampigie!! Wema alisema very lower IQ.
 
uyu boya nlikua nampigia kura mpka vidole vinauma "inanipa sms u hv reached the maxmum 20 per day!! sasa ivi amwambie Jk na magufuli ampigie!! Wema alisema very lower IQ.

Uboya mwingine huu

Hivi unafikiri mafanikio ya Diamond yametoka na watu kumpigia kura kwenye hizo tuzo? unafikiri kupigiwa kura ndio kigezo cha kushinda hizo tuozo? kwa mtindo huo mtvmama angechukua zote wenzetu naija hawanaga mbwembwe za kupiga kura kiivo ndio maana huwezi kukuta mtu anabeba tuzo 4 pekeyake coz kuna meza inayoamua

Mkitaka kugundua amekuwa affected au ni porojo zenu, angalieni views youtube kama wamepungua, angalieni followers kama wamepungua na amshaamsha zote za unfollow hahahaha, dogo wa watu anazidi kutusua tu katoka kenya kwa neyo, kaenda south, karudi Tz, kaenda Nigeria, sahivi yupo zake Mauritius Dadadekiiiiiii mtakonda sana na vikura vyenu vya mawazo na conditions

Muende Marimba, mtvbase, kote wimbo ndio namba moja, trace namba 2, maniiiiiiina Aliye juu yupo juu tu na CCM haiwezi kufanya wimbo uwe mbaya hata siku mojaaa


Msiishie porojo tu hapa, tuhakikishe tunawang'oa hawa CCM, lakini Chibu kushuka oooooh itamuharibia mtasubiri saana muanze kuwapangia baba zenu mnaokaa nao ndio mtakuja kumpangia chibu....

Afu nashangaa sana mabadiliko gani mnayotaka, kama katiba tu inayomtaka kila mtu kuwa huru kuchagua chama anachokitaka hamuijui!!! Msiwe mnakurupukia mambo msiyoyajuwa, piga kimya tuje kumaliza kuwatoa CCM Madarakani, bila kudharau mawazo na itikadi za mwingine!!!!
 
Aiseeeeeeeeee kati ya watu walonishangaza kwenye huu uzi unaweza ukawa ni wewe! Haya maneno ni ya kwako kweli? Mhhhh Cc. Kimbley

kwanini ushangae, mimi ni mwanaume siwezi kuwa na kinyongo, hatap sisi team kiba tushawahi toa makavu kwenye uzi wetu kule na maisha yanaendelea kama kawa,
 
Last edited by a moderator:
Hatupigi kura,rafiki zangu wote tuliokua tunampigia kura wamegomaaa apigiwe na Jk na hawara yake wema na zari
 
Ila amesema ikulu hawaendi wagonjwa

Is it what he is supposed to do?

Amesahau mama na baba yake ni wagonjwa spana mkononi
Hongereni kwa kumuongezea maneno ambayo hajayasema!muko huru kufanya maamuzi!mmeshaamua kutomsapoti its ok,nyie mmetoka wengi wameongezeka na wanazidi kuongezeka.

BTW lengo lenu halijafanikiwa na halitofanikiwa!kila mtu yuko huru kufanya akipendacho kwa nafasi yake,Ubinafsi na Uoga hauna nafasi tena kwa Diamond wala mimi.

Nyie mmeshaaga sasa mbona bado mnaongea ongea na kumfata fata diamond?!si mpite hivi.............,tatizo ni nini tena?!hampigi kura sawa hatuwalazimishi sasa mnataka nini tena?

Nendeni salama mtuache na POPOMA wetu sie wenyewe tumemridhia na kumkubali.
 
Hatupigi kura,rafiki zangu wote tuliokua tunampigia kura wamegomaaa apigiwe na Jk na hawara yake wema na zari

ahahaha bahati mbaya hapa JF wala hamfiki kumi!Tumejaa kibao tunampigia kura na matokeo ya kura zetu utayaona sooooon mumy
 
watu wengine kazi hawana wanaingilia uhuru wa watu mwacheni afanye kitu roho inapenda nye vip? kwani huko ukawa kuna mtu kawalazimisha au mmeenda wenyewe,sasa kwa nini mnataka kumlazimisha mond?
 
Ahaaahaaa kura za maoni Lowassa kamkimbiza sana Magufuli dada mbona unajidanganya. Imekula kwenu mwaka huu miaka 54 ya uhuru maendeleo mwendo wa kinyonga? piteni hiviii
 
Mkuu, diamond anafanya biashara amelipwa yule, hata ww ukimlipa atakuja kutumbuiza nyumbani kwako, usiingize siasa kwenye biashara.

Mkuu. Kwa hiyo unamaanisha diamond hafanyi hivyo kwa mapenzi yake bali kwa sababu ya shilingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…