uyu boya nlikua nampigia kura mpka vidole vinauma "inanipa sms u hv reached the maxmum 20 per day!! sasa ivi amwambie Jk na magufuli ampigie!! Wema alisema very lower IQ.
Uboya mwingine huu
Hivi unafikiri mafanikio ya Diamond yametoka na watu kumpigia kura kwenye hizo tuzo? unafikiri kupigiwa kura ndio kigezo cha kushinda hizo tuozo? kwa mtindo huo mtvmama angechukua zote wenzetu naija hawanaga mbwembwe za kupiga kura kiivo ndio maana huwezi kukuta mtu anabeba tuzo 4 pekeyake coz kuna meza inayoamua
Mkitaka kugundua amekuwa affected au ni porojo zenu, angalieni views youtube kama wamepungua, angalieni followers kama wamepungua na amshaamsha zote za unfollow hahahaha, dogo wa watu anazidi kutusua tu katoka kenya kwa neyo, kaenda south, karudi Tz, kaenda Nigeria, sahivi yupo zake Mauritius Dadadekiiiiiii mtakonda sana na vikura vyenu vya mawazo na conditions
Muende Marimba, mtvbase, kote wimbo ndio namba moja, trace namba 2, maniiiiiiina Aliye juu yupo juu tu na CCM haiwezi kufanya wimbo uwe mbaya hata siku mojaaa
Msiishie porojo tu hapa, tuhakikishe tunawang'oa hawa CCM, lakini Chibu kushuka oooooh itamuharibia mtasubiri saana muanze kuwapangia baba zenu mnaokaa nao ndio mtakuja kumpangia chibu....
Afu nashangaa sana mabadiliko gani mnayotaka, kama katiba tu inayomtaka kila mtu kuwa huru kuchagua chama anachokitaka hamuijui!!! Msiwe mnakurupukia mambo msiyoyajuwa, piga kimya tuje kumaliza kuwatoa CCM Madarakani, bila kudharau mawazo na itikadi za mwingine!!!!