PreGE2025 Kwa hili, Bishop Gwajima kathibitisha yeye ni akili kubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,645
Reaction score
10,867
Kama angeyaeleza hayo bungeni, asingefanikiwa. Lazima angefanyiwa mizengwe na wabunge wenzake kwa kumpiga taarifa, n.k.

Kama angesema akayaibue chamani, ukinzani ambao angekutana nao humo ungekuwa mkubwa zaidi kuliko wa bungeni.

Gwajima alilizungumzia suala la utekaji kwa namna ambavyo hata mtoto wa darasa la pili angemwelewa. Nimeshangaa kuwaona Wabunge wenzake wakimzodoa, pamoja na watu wanaojaribu kusaka vyeo kwa uchawa.

Pia soma Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka

Inamaanisha hawajamwelewa Dr. Gwajima?

Mwingine amenishangaza kukasirika kwa sababu eti Gwajima alimtolea mfano mtoto wa Rais!

Kumtolea tu mfano mtoto wa Rais kumezua nongwa, je kama angetekwa kama walivyotekwa akina Soka na Mdude? Hao nao pia wamezaliwa na mwanamke kama mtoto wa Rais alivyozaliwa na mama yake!

Kama hawajamwelewa Gwajima, inawezekana ni kwa sababu Gwajima ni akili kubwa ukiwalinganisha na wanaojitutumua kumjibu!

Hongera sana akili kubwa, Dr. Josephath Gwajima!!!
 
Jamaa zetu ukiwauliza maazimio ya Kamati Kuu yao ya chama wameshasahau, wanamuimba Gwajima tu
 
Kama angeyaeleza hayo bungeni, asingefanikiwa. Lazima angefanyiwa mizengwe na wabunge wenzake kwa kumpiga taarifa, n.k.

Kama angesema akayaibue chamani, ukinzani ambao angekutana nao humo ungekuwa mkubwa zaidi kuliko wa bungeni.

Gwajima alilizungumzia suala la utekaji kwa namna ambavyo hata mtoto wa darasa la pili angemwelewa. Nimeshangaa kuwaona Wabunge wenzake wakimzodoa, pamoja na watu wanaojaribu kusaka vyeo kwa uchawa.

Inamaanisha hawajamwelewa Dr. Gwajima?

Mwingine amenishangaza kukasirika kwa sababu eti Gwajima alimtolea mfano mtoto wa Rais!

Kumtolea tu mfano mtoto wa Rais kumezua nongwa, je kama angetekwa kama walivyotekwa akina Soka na Mdude? Hao nao pia wamezaliwa na mwanamke kama mtoto wa Rais alivyozaliwa na mama yake!

Kama hawajamwelewa Gwajima, inawezekana ni kwa sababu Gwajima ni akili kubwa ukiwalinganisha na wanaojitutumua kumjibu!

Hongera sana akili kubwa, Dr. Josephath Gwajima!!!
Really?
 
"hata kama raisi wetu ni wa hivyo kiasi gani, tumtii"

Jerry Muro 2025
 
mambo yoote yalikuwa yanaenda vizuri ila kwa utekaji, hakina kama watanzania hatutapambana basi Mungu mwenyewe atashuka kutusaidia.
 
Kama angeyaeleza hayo bungeni, asingefanikiwa. Lazima angefanyiwa mizengwe na wabunge wenzake kwa kumpiga taarifa, n.k.

Kama angesema akayaibue chamani, ukinzani ambao angekutana nao humo ungekuwa mkubwa zaidi kuliko wa bungeni.

Gwajima alilizungumzia suala la utekaji kwa namna ambavyo hata mtoto wa darasa la pili angemwelewa. Nimeshangaa kuwaona Wabunge wenzake wakimzodoa, pamoja na watu wanaojaribu kusaka vyeo kwa uchawa.

Inamaanisha hawajamwelewa Dr. Gwajima?

Mwingine amenishangaza kukasirika kwa sababu eti Gwajima alimtolea mfano mtoto wa Rais!

Kumtolea tu mfano mtoto wa Rais kumezua nongwa, je kama angetekwa kama walivyotekwa akina Soka na Mdude? Hao nao pia wamezaliwa na mwanamke kama mtoto wa Rais alivyozaliwa na mama yake!

Kama hawajamwelewa Gwajima, inawezekana ni kwa sababu Gwajima ni akili kubwa ukiwalinganisha na wanaojitutumua kumjibu!

Hongera sana akili kubwa, Dr. Josephath Gwajima!!!
Gwajima ni akili kubwa sana, amefanya wabunge wote wanaimba wimbo wa press conference yake.
 
Kama angeyaeleza hayo bungeni, asingefanikiwa. Lazima angefanyiwa mizengwe na wabunge wenzake kwa kumpiga taarifa, n.k.

Kama angesema akayaibue chamani, ukinzani ambao angekutana nao humo ungekuwa mkubwa zaidi kuliko wa bungeni.

Gwajima alilizungumzia suala la utekaji kwa namna ambavyo hata mtoto wa darasa la pili angemwelewa. Nimeshangaa kuwaona Wabunge wenzake wakimzodoa, pamoja na watu wanaojaribu kusaka vyeo kwa uchawa.

Pia soma Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka

Inamaanisha hawajamwelewa Dr. Gwajima?

Mwingine amenishangaza kukasirika kwa sababu eti Gwajima alimtolea mfano mtoto wa Rais!

Kumtolea tu mfano mtoto wa Rais kumezua nongwa, je kama angetekwa kama walivyotekwa akina Soka na Mdude? Hao nao pia wamezaliwa na mwanamke kama mtoto wa Rais alivyozaliwa na mama yake!

Kama hawajamwelewa Gwajima, inawezekana ni kwa sababu Gwajima ni akili kubwa ukiwalinganisha na wanaojitutumua kumjibu!

Hongera sana akili kubwa, Dr. Josephath Gwajima!!!
Bungeni asingeweza kuongea sababu wana kanuni za ajabu eti hauwezi kumtaja rais isipokuwa tu kwa kumsifia
 
Back
Top Bottom