Kwa hili, Clatous Chama ajitafakari, hakupata ushauri mzuri

ndomana huendelei umeng'ang'ana na mipango yamuda mfupi tu geuka itazame na mipango ya muda mrefu
 
Mtoa mada inaonekana hujui kabisa maana ya kimataifa,rudi kwanza shule ndio uje uanzishe mada
 
Kwanini wewe usiwe chama ukacheze ulaya?
 
Na Ushindi alietoka Mazembe kwenda utopolo tumfanyaje
 
Walicheza kimataifa wakishindwa na wengine waliyakosa mashindano kwa sababu za transfer. Lakini Chama alihama wakati ule alifahamu wazi kuwa anakwenda kucheza Manungu complex TU.
Kama kucheza manungu ni adhabu basi yanga wanateseka sana
 
Umeandika kwa kutumia Akili
Watakujibu ki shabiki[emoji3][emoji3]
 
Kwani huko Berkane alikuwa anacheza?
 
Kila mchezaji duniani kote ana ndoto na anaomba ajiunge na timu ambayo inashiriki mashindano ya kimataifa ili acheze mechi za kimataifa kwa lengo la kujinadi kimataifa aonekane kimataifa ili apate timu zenye maslahi mazuri na mazingira Bora ya kaz...
Basi michezaji yote iliyosaini vigodoro fc ingepimwa akili
 
Mzee usimpangie mtu maisha.Kila mtu na maisha yake.
 
Kilichomkuta chama kipo katika sheria ya mpira, kwa maana ya kwamba kingeweza kumkuta hata messi endapo angesajiliwa na simba
๐—œ๐—น๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ถ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—ฐ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ฟ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—บ2๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฎ๐˜‚ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฝ?
 
Chiko Ushindi ametoka TP Mazembe
Mayele, Bangala, Djuma walipimwa akili
 
Kila mchezaji duniani kote ana ndoto na anaomba ajiunge na timu ambayo inashiriki mashindano ya kimataifa ili acheze mechi za kimataifa kwa lengo la kujinadi kimataifa aonekane kimataifa ili apate timu zenye maslahi mazuri na mazingira Bora ya kaz...
Hivi nyie miutopolo mna matatizo gani vichwani mwenu? Wakapimwe kwanza aucho , Bangala na mayele kukubali kucheza timu ya mchangani.
 
Msisangae jaman Yanga wengi leo wamepatwa na weweseko .... Wanabwabwaja hovyo tunaomba tuwavumilie

NB: Mgeni akilimiwe kama mlivyowapokea [emoji23][emoji23][emoji23].... Muwasindikize

Sent from my FTE171A using JamiiForums mobile app
 
Sio tu kupimwa akili anafaa kuwekwa hospitali ya wenda wazimu, maana alikuwa anaweza maliza msimu huko Berkane Kisha akarudi, ILA kiwango chake huko Ber
 
Naomba kuuliza, hivi wachezaji wa kimataifa wa Yanga walipimwa mkojo, damu na akili lini...na bado wanacheza sakafuni tu mechi za kimataifa kwao labda mwakani na kwa kawaida ya Yanga hawatafika hata raundi ya pili.
 
Kabla ya kukubali offer kuna mambo mengi ya kutilia manani likiwemo hilo la familia, wataka kusema Chama ni chizi kwa kiasi hicho cha kwenda kuonea hukohuko?

Ona sasa hata huku alikorudi jamaa wanashinda mechi kwa kununua bayana waamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ