kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
ndomana huendelei umeng'ang'ana na mipango yamuda mfupi tu geuka itazame na mipango ya muda mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini wewe usiwe chama ukacheze ulaya?Kila mchezaji duniani kote ana ndoto na anaomba ajiunge na timu ambayo inashiriki mashindano ya kimataifa ili acheze mechi za kimataifa kwa lengo la kujinadi kimataifa aonekane kimataifa ili apate timu zenye maslahi mazuri na mazingira Bora ya kazi...
Na Ushindi alietoka Mazembe kwenda utopolo tumfanyajeKila mchezaji duniani kote ana ndoto na anaomba ajiunge na timu ambayo inashiriki mashindano ya kimataifa ili acheze mechi za kimataifa kwa lengo la kujinadi kimataifa aonekane kimataifa ili apate timu zenye maslahi mazuri na mazingira Bora ya kazi...
Kama kucheza manungu ni adhabu basi yanga wanateseka sanaWalicheza kimataifa wakishindwa na wengine waliyakosa mashindano kwa sababu za transfer. Lakini Chama alihama wakati ule alifahamu wazi kuwa anakwenda kucheza Manungu complex TU.
Kwani huko Berkane alikuwa anacheza?Kwani wakati anajiunga tena na Simba hakujua kama hatashiri mechi za kimataifa? Hapo ndipo panapohitaji upimaji wa akili. Umri alinaonao ni WA kushow case kimataifa, sio kurudi Manungu TU. Wenzake wanamcheka sana hata kama hawamwambii. Ni heri angekuwa mchezaji wa akiba kwenye timu yake ya Berkane kuliku alichofanya, mpuuzi kabisa wa soka.
Basi michezaji yote iliyosaini vigodoro fc ingepimwa akiliKila mchezaji duniani kote ana ndoto na anaomba ajiunge na timu ambayo inashiriki mashindano ya kimataifa ili acheze mechi za kimataifa kwa lengo la kujinadi kimataifa aonekane kimataifa ili apate timu zenye maslahi mazuri na mazingira Bora ya kaz...
Mzee usimpangie mtu maisha.Kila mtu na maisha yake.Kila mchezaji duniani kote ana ndoto na anaomba ajiunge na timu ambayo inashiriki mashindano ya kimataifa ili acheze mechi za kimataifa kwa lengo la kujinadi kimataifa aonekane kimataifa ili apate timu zenye maslahi mazuri na mazingira Bora ya kazi...
𝗜𝗹𝗮 𝘄𝗮𝗸𝗶𝗽𝗶𝘁𝗮 𝗵𝗮𝘁𝘂𝗮 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝗸𝘂𝗻𝗱𝗶 𝗰𝗵𝗮𝗺𝗮 𝗰 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗿𝘂𝗵𝘂𝘀𝗶𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗺2𝗺𝗶𝗮 𝗮𝘂 𝘃𝗶𝗽?Kilichomkuta chama kipo katika sheria ya mpira, kwa maana ya kwamba kingeweza kumkuta hata messi endapo angesajiliwa na simba
Chiko Ushindi ametoka TP MazembeKila mchezaji duniani kote ana ndoto na anaomba ajiunge na timu ambayo inashiriki mashindano ya kimataifa ili acheze mechi za kimataifa kwa lengo la kujinadi kimataifa aonekane kimataifa ili apate timu zenye maslahi mazuri na mazingira Bora ya kazi...
Hivi nyie miutopolo mna matatizo gani vichwani mwenu? Wakapimwe kwanza aucho , Bangala na mayele kukubali kucheza timu ya mchangani.Kila mchezaji duniani kote ana ndoto na anaomba ajiunge na timu ambayo inashiriki mashindano ya kimataifa ili acheze mechi za kimataifa kwa lengo la kujinadi kimataifa aonekane kimataifa ili apate timu zenye maslahi mazuri na mazingira Bora ya kaz...
Sio tu kupimwa akili anafaa kuwekwa hospitali ya wenda wazimu, maana alikuwa anaweza maliza msimu huko Berkane Kisha akarudi, ILA kiwango chake huko BerKila mchezaji duniani kote ana ndoto na anaomba ajiunge na timu ambayo inashiriki mashindano ya kimataifa ili acheze mechi za kimataifa kwa lengo la kujinadi kimataifa aonekane kimataifa ili apate timu zenye maslahi mazuri na mazingira Bora ya kazi...