Kwa hili, Clatous Chama ajitafakari, hakupata ushauri mzuri

Kabla ya kukubali offer kuna mambo mengi ya kutilia manani likiwemo hilo la familia, wataka kusema Chama ni chizi kwa kiasi hicho cha kwenda kuonea hukohuko?

Ona sasa hata huku alikorudi jamaa wanashinda mechi kwa kununua bayana waamuzi
si ungenunua na wewe dhidi ya rivers united kama ni kazi rahisi
mlikazana hatuchez hatuchez kisinda mkubwa
 
HIVI utopolo walishawahi kuongoza kundi kwenye mashindano yoyote ya caf champions league au confederation? Maana wanarukia kumwandama Chama badala ya kuwapima Djuma aliyetoka timu kubwa na kujiunga utopoloni ichezayo ndondo za mchangani!
 
Kila mchezaji duniani kote ana ndoto na anaomba ajiunge na timu ambayo inashiriki mashindano ya kimataifa ili acheze mechi za kimataifa kwa lengo la kujinadi kimataifa aonekane kimataifa ili apate timu zenye maslahi mazuri na mazingira Bora ya kaz...
Hiyo akili apimwe kwanza Mrisho Ngassa alipokwenda kwa majaribio West Ham akaambiwa arudi Bongo kuongeza fitness badala yake karudi na kuongeza mke wa 3.

Habari yake ya kurudi Ulaya ikawa imeishia hapo. Mpaka hapo nani anastahili kupimwa akili Chama au Mrisho Ngassa?
 
HIVI utopolo walishawahi kuongoza kundi kwenye mashindano yoyote ya caf champions league au confederation? Maana wanarukia kumwandama Chama badala ya kuwapima Djuma aliyetoka timu kubwa na kujiunga utopoloni ichezayo ndondo za mchangani!
Wanaongoza kundi F kwenye mashindano ya NATO yenye timu ya Marekani, Ukraine, Yanga, Somalia na Urusi.
 
FIFA wako sahihi, Chama ndio mwenye shida kichwani. Mchezaji mkubwa kukosa mechi za kimataifa l bila sababu za maana ni nadra kuona.
Kwenye UEFA kitu hiyo waliitoa kwa mfano Liverpool walimsajili LUIS DIAZ kutoka Porto na anacheza mechi za UEFA
 
Kaamua kurudi kwenye comfort zone.
 
niambie Okwi ni lini na wapi alikosa mashindano ya kimataifa kwa style hii ya Chama? Mtu kama Chama ni aibu kuangangalia wenzake wanakuwa sehemu ya mafanikio ya timu kwenye mechi za kimataifa. Pesa hainunui kila kitu
 
Hhahaa wakupimwa akili ni akina mayele, bangala, aucho, shaban dhjuma, makambo, ushindi chiko na makolo wengine waliodanganywa watacheza kimataifa juku wakijua litimu lenyewe wala halinaga hata mpango wa kufika mbali kimataifa. Chama anauhakika baada ya miezi sita anacheza kimataifa mpka hatua za makundi.
 
Kwa namna hiyo wale wachazaji mliowasajili kwa kuwadanganya watacheza club bingwa Afrika wameenda kupima? Aucho au Bangala wamepimwa lini?
Kwamba Yanga haikucheza club bingwa au umekunywa mataputapu?
 
niambie Okwi ni lini na wapi alikosa mashindano ya kimataifa kwa style hii ya Chama? Mtu kama Chama ni aibu kuangangalia wenzake wanakuwa sehemu ya mafanikio ya timu kwenye mechi za kimataifa. Pesa hainunui kila kitu
Mwaka 2013 Okwi alienda Etoile du Sahel ya Tunisia akitokea Simba, lakini aliichezea mechi moja tu, kwani alipokuja kuichezea timu yake ya taifa ya Uganda, hakurudi Tunisia kuichezea klabu yake ambayo ilikuwa inashiriki Kombe la Shirikisho na ilifika hatua ya makundi bila Okwi kucheza akishinikiza alipwe hela zake. Baadaye alikuja kupewa kibali maalum na FIFA na akawa anaichezea SC Villa wakati mgogoro ukiendelea kutatuliwa.

Akalamba hela Villa, ikamuuza Yanga kalamba hela Yanga, akaiwekea mgomo, akasajiliwa bure Simba usiku wa kufunga dirisha dogo 😁. Pesa inanunua vitu vingi.
 
Kwamba Yanga haikucheza club bingwa au umekunywa mataputapu?
Walicheza mechi moja wakavaa Visit Kilimanjaro & Zanzibar mara moja tu. Zile jezi sijui zimepotelea wapi! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe kweli Bundi! Sasa kilichowaleta Aucho na Mayele pale Utopwinyoko ni nini?
Au kucheza na Somalia kwao ndiyo Kimataifa?
Yani Shukuru Mungu kuwa kwenye hilo Bichwa Boga lako angalau amekuwekea akili za kuvukia Barabara.
 
Yanga ilicheza ikatolewa na Rivers mapema, kosa liko wapi?
 
Kuja kwenye Timu ambayo haina uhakika hata wa kuvuka Round ya kwanza ndiyo kosa lilipoanzia.
kufurahia kuwa simba imeifunga Berkane ni kuendelea kujidanganya wenyewe, simba imepora point 3 kwa nguvu (ya pesa), huo ndio ukweli wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…