Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si ungenunua na wewe dhidi ya rivers united kama ni kazi rahisiKabla ya kukubali offer kuna mambo mengi ya kutilia manani likiwemo hilo la familia, wataka kusema Chama ni chizi kwa kiasi hicho cha kwenda kuonea hukohuko?
Ona sasa hata huku alikorudi jamaa wanashinda mechi kwa kununua bayana waamuzi
Hiyo akili apimwe kwanza Mrisho Ngassa alipokwenda kwa majaribio West Ham akaambiwa arudi Bongo kuongeza fitness badala yake karudi na kuongeza mke wa 3.Kila mchezaji duniani kote ana ndoto na anaomba ajiunge na timu ambayo inashiriki mashindano ya kimataifa ili acheze mechi za kimataifa kwa lengo la kujinadi kimataifa aonekane kimataifa ili apate timu zenye maslahi mazuri na mazingira Bora ya kaz...
Wanaongoza kundi F kwenye mashindano ya NATO yenye timu ya Marekani, Ukraine, Yanga, Somalia na Urusi.HIVI utopolo walishawahi kuongoza kundi kwenye mashindano yoyote ya caf champions league au confederation? Maana wanarukia kumwandama Chama badala ya kuwapima Djuma aliyetoka timu kubwa na kujiunga utopoloni ichezayo ndondo za mchangani!
Kwenye UEFA kitu hiyo waliitoa kwa mfano Liverpool walimsajili LUIS DIAZ kutoka Porto na anacheza mechi za UEFAFIFA wako sahihi, Chama ndio mwenye shida kichwani. Mchezaji mkubwa kukosa mechi za kimataifa l bila sababu za maana ni nadra kuona.
Kaamua kurudi kwenye comfort zone.Kila mchezaji duniani kote ana ndoto na anaomba ajiunge na timu ambayo inashiriki mashindano ya kimataifa ili acheze mechi za kimataifa kwa lengo la kujinadi kimataifa aonekane kimataifa ili apate timu zenye maslahi mazuri na mazingira Bora ya kazi...
niambie Okwi ni lini na wapi alikosa mashindano ya kimataifa kwa style hii ya Chama? Mtu kama Chama ni aibu kuangangalia wenzake wanakuwa sehemu ya mafanikio ya timu kwenye mechi za kimataifa. Pesa hainunui kila kituUsiwachukulie poa wachezaji au mawakala/ mameneja wao. Wakati mwingine ni michezo ya kupiga pesa. Fikiria Emmanuel Okwi alivyokuwa anazikomba hela za vilabu vingine (ikiwemo Yanga) halafu anarudi Simba kwa kisingizio cha 'kushindwa mazingira'. Unaweza ukasema ni mjinga, hafanyi utafiti, lakini kote huko alivunja mkataba akiwa na vitita vya fedha,
View attachment 2148858
Kwamba Yanga haikucheza club bingwa au umekunywa mataputapu?Kwa namna hiyo wale wachazaji mliowasajili kwa kuwadanganya watacheza club bingwa Afrika wameenda kupima? Aucho au Bangala wamepimwa lini?
Mwaka 2013 Okwi alienda Etoile du Sahel ya Tunisia akitokea Simba, lakini aliichezea mechi moja tu, kwani alipokuja kuichezea timu yake ya taifa ya Uganda, hakurudi Tunisia kuichezea klabu yake ambayo ilikuwa inashiriki Kombe la Shirikisho na ilifika hatua ya makundi bila Okwi kucheza akishinikiza alipwe hela zake. Baadaye alikuja kupewa kibali maalum na FIFA na akawa anaichezea SC Villa wakati mgogoro ukiendelea kutatuliwa.niambie Okwi ni lini na wapi alikosa mashindano ya kimataifa kwa style hii ya Chama? Mtu kama Chama ni aibu kuangangalia wenzake wanakuwa sehemu ya mafanikio ya timu kwenye mechi za kimataifa. Pesa hainunui kila kitu
Walicheza mechi moja wakavaa Visit Kilimanjaro & Zanzibar mara moja tu. Zile jezi sijui zimepotelea wapi! 😂😂😂Kwamba Yanga haikucheza club bingwa au umekunywa mataputapu?
walizivaa jana walipocheza na somaliaWalicheza mechi moja wakavaa Visit Kilimanjaro & Zanzibar mara moja tu. Zile jezi sijui zimepotelea wapi! 😂😂😂
Kila mchezaji duniani kote ana ndoto na anaomba ajiunge na timu ambayo inashiriki mashindano ya kimataifa, ili acheze mechi za kimataifa kwa lengo la kujinadi kimataifa aonekane kimataifa ili apate timu zenye maslahi mazuri na mazingira bora ya kazi.
Ona mchezaji mkubwa Clatous Chama wa Simba, sasa hivi huku hayuko na kule hayuko, amebaki kuwa mtazamaji tu wa mechi za kimataifa kama wengine akina sisi. Yaani hachezi mechi za kimataifa za Simba wala za Berkane FC na umri unazidi kumtupa mkono.
Kufanya uamuzi wa aina hii kunahitaji ubongo uliovurugwa kabisa kiasi cha kuhitaji wataamu wa afya ya akili.
Ameamua kurudi kwenye ligi yenye changamoto nyingi sana za viwanja, waamuzi na management. Nadhani hakupata ushauri wa kutosha kabisa.
Yanga ilicheza ikatolewa na Rivers mapema, kosa liko wapi?Wewe kweli Bundi! Sasa kilichowaleta Aucho na Mayele pale Utopwinyoko ni nini?
Au kucheza na Somalia kwao ndiyo Kimataifa?
Yani Shukuru Mungu kuwa kwenye hilo Bichwa Boga lako angalau amekuwekea akili za kuvukia Barabara.
Yanga ilicheza ikatolewa na Rivers mapema, kosa liko wapi?
kufurahia kuwa simba imeifunga Berkane ni kuendelea kujidanganya wenyewe, simba imepora point 3 kwa nguvu (ya pesa), huo ndio ukweli wenyewe.Kuja kwenye Timu ambayo haina uhakika hata wa kuvuka Round ya kwanza ndiyo kosa lilipoanzia.