Kwa hili, Clouds FM wamechemka sana

Kwa hili, Clouds FM wamechemka sana

yani wew unamsema kennedy the remedy..! afu jamaa ni bonge la mtangazaji yan kafiti vilivo kwnye ile nafasi.
 
yawezekana mkuu kasoro wachache tu
mkuu sisi wanasayansi tuna enda na proof. wewe kama uliwaangalia vinyeo vyao ukaona vipo wazi vimepwaya kabisa ukiwa na udhibitisho wa picha hapo nitakubali.
 
Kuna vipindi vya kusikiliza vinavyoendana na umri wa mtu..Usimshambulie kama ni wa Bozouk basi yeye ni Bongofleva na pengine umri wake ni 17years..maana humu siku hizi tupo na wajukuu zetu.
ha ha ha ha babuu!
 
Kennedy yuko fresh tuu na kafit kabisa pale
Anyway huez pendwa na kila mtu
Unajifariji kijinga, eti mavi nilojipaka yatakauka tu na harufu itaisha mmmffyyyyy, HUPASWI KUCHUKIWA.
 
Back
Top Bottom