Kwa hili, Clouds FM wamechemka sana

Kwa hili, Clouds FM wamechemka sana

Mashoga ndio wanasikiliza clouds lakini ukiwa lijali huwezi kabisa.

redio gani watangazaji wakiume wanabama pua kama watoto wakike
Mbona kwa andiko lako una sound kishoga shoga......hebu shusha more details tu trace mkao wako...huwezi jua kuna watakaoonyesha interest ukapiga bingo.
 
Siku nyingi sijasikiliza xxl, n' way jamaa alikuwa poa E.A labda kama kabadilika
 
Yan mi ni clouds tu asubuhi mpk asubuhi, radio nyingine ata sijui frequency zao
Kipindi changu kilikua ni Ku peruse na kudadis... Now that PJ is gone, sipati ile mzuka kama zamani...
 
Tatizo la amplifaya ni matangazo... Yani mpaka keroooo
Hilo ni tatizo la vipnd vyote pale clouds juna sku nliskilza matangazo kutoka kinondoni mkwajun had apa nakaribia mwenge itv, ndo nackia tena B twangala ana rud na kulkuwa kuna folen fkiria
Baada ya apo nkawa nackiiza planet bongo tuu
 
cwez na cntakaa nickilize clouds fm . nilienda kwa dem nkakuta anackilza hyo nkmwambia atoe akagoma na hv geto hapakuwa mbal nkaamsha zng mm
 
niliacha kusikiliza hicho kipindi walipomaliza mapambano ya kuchana kati ya nik mbish na godzila.
 
Mbona Kennedy yuko poa sana sema tu we labda humwelew
 
Kipindi nisichopenda zaidi ni Ala za Roho cha Diva..... hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom