frenk julius
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 377
- 242
- Thread starter
-
- #21
FactIla tuache utani, Simba ya sasa kuanza kuingia kwenye malumbano na Yanga ni kujishushia hadhi sana.
Simba inatakiwa iwaze mafanikio barani Afrika, sio kurushana roho na timu kama ya Yanga.
Ifike mahali tuanze kuwaondoa wasemaji ambao wamekosa weledi kama Manara. Mtu kama Zaka za Kazi anaonekana anajitambua sana.
Hivi kwa vile vibweka alivyokuwa anavifanya Manara kwa Morisson tuna msemaji wa timu au shabiki maandazi?
Chagia hoja mkuuMleta mada fanyia kazi mambo yafuatayo:
a) Andika kwa usahihi Jina lako i.e 'Frank' badala ya 'Frenk'. Kumbuka hilo sio jina la kibantu.
b) Jifunze kuandika ili hadhi yako isishuke honestly nimepatwa na kichefuchefu niliposoma bandiko lako ambalo pengine ulikuwa na ujumbe mzuri ila uandikaji umekugharimu. Kumbuka mtu asiyejua kuandika vizuri hana tofauti na mjinga.
NB: Elimu ni bahari!
Kama Yanga wameweza mchukua Senzo,basi Simba wataweza mrudisha vile vile. Simba na Yanga sio watani tena bali ni maadui.
FactNa hili kalisababisha Manara kafanikiwa sana kufanya watani wa jadi kuwa maadui hana tofauti na polepole
Kawashtaki kama ni wahuniGsm ni genge la wahuni