Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Huu sasa ni uamuzi wa kipuuzi kaufanya Harmonize, kusitisha wimbo eti kisa mnakereka na kipigo hiyo haipunguzi maumivu kwa mashabiki. acha goma lilie, piga hela za views Yanga wajipange upya kwani ligi bado ni mbichi hii.
=====
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize amepiga marufuku wimbo wake maarufu wa 'Yanga Bingwa' kuchezwa sehemu yoyote hadi pale atakapotoa taarifa nyingine kuhusu wimbo huo.
Pia, Soma: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024
Harmonize ametoa maelekezo hayo kupitia mtandao wa Instagram, ikiwa ni saa chache tangu Yanga ifumuliwe mabao 3-1 na Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Azam Complex, jijini Dar es Salaam.