apiga marufuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mmuya apiga marufuku uandaaji wa mipango ya matumizi ya ardhi kwenye viwanja vya mita 20 kwa 20

    Awataka wataalamu wa mipango miji kufanya kazi kwa uadilifu Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka wataalamu wa mipango miji nchini kuacha kuidhinisha mipango ya matumizi ya ardhi kwenye viwanja vyenye ukubwa wa mita 20 kwa 20, isipokuwa katika maeneo...
  2. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Capt. Traore azuia Shariah law, awazuia Imams wote walio enda kusoma Saudia kurudi Burkina Faso

    "Mimi ni Mwislamu, lakini kila mtu nchini Burkina Faso ana haki ya kufuata dini yake mwenyewe. Hakutakuwa na shariah law katika nchi hii. Kwa wale Waburkinabe wanaosoma sheria ya Sharia nchini Saudi Arabia, msirudi Burkina Faso. Badala ya kujifunza maarifa na ujuzi wa kiteknolojia unaoweza...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Aunguruma. Apiga Marufuku Na kutoa Maagizo ya Kukamatwa na kufuatiliwa viongozi Wanaojadili kuhusu Uchaguzi Wa 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Amepiga Marufuku Na kutoa Maagizo Mazito kwelikweli ya kufuatiliwa na kukamatwa wale Viongozi Wote Ambao wamekaa maofisini na kwenye makundi ya Wasapu wakifanya kazi ya kujadili kuhusu Uchaguzi...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Shemdoe: Marufuku kuhamisha Watumishi wenye changamoto za nidhamu, washughulikwe kinidhamu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri kutowahamisha au kuwaombea uhamisho watumishi wanaobainika kuwa na changamoto za kinidhamu katika Mamlaka za Mikoa na Serikali za Mitaa, na badala yake...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apiga marufuku hospitali kuzuilia miili ya marehemu kwa sababu ya madeni ya matibabu

    Hakuna maumivu makubwa zaidi kuliko kumpoteza mpendwa baada ya wiki au miezi kadhaa hospitalini, ukiendelea kuishi kwa tumaini dhaifu, halafu kifo kinakuja mwishoni mwa kipindi hicho kirefu cha kusubiri. TANGAZO Kwa familia nyingi, huzuni haimaliziki kando ya kitanda cha mgonjwa. Inaendelea...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Samweli Karao apiga Marufuku Kampeni za Siasa Msiba wa aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Arumeru

    Mchungaji Samweli Karao wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayeongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Arumeru, Albert Elias Mollel, amewaonya viongozi wa kisiasa dhidi ya kutumia msiba huo kwa malengo ya kisiasa. Akihubiri mbele ya viongozi mbalimbali...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Trump apiga marufuku raia wa nchi 12 kuingia Marekani

    Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kupiga marufuku raia wa nchi 12 kuingia Marekani. Nchi zilizopigwa marufuku kwa raia wao kuingia Marekani ni Afghanistan, Myanmar, Chad, Republic of the Congo, Equatorial Guinea, Eritrea, Haiti, Iran, Libya, Somalia, Sudan, na Yemen ========== Trump...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Sitaki kusikia mtu anaambiwa akanunue dawa nje ya hospitali

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku tabia ya waganga katika hospitali za serikali kuwaandikia wagonjwa dawa na kuwaelekeza kununua dawa hizo katika maduka ya dawa ya watu binafsi wakati Serikali imetoa dawa za kutosha kwenye zahati,vituo vya afya na hospitali za Wilaya. Ametoa marufuku...
  9. upupu255

    JamiiForums Tanzania RC Shinyanga apiga marufuku Watoto kutumikishwa mashambani, ataka wapelekwe Shuleni

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha amepiga marufuku wazazi na walezi kuwatumikisha watoto mashambani na kuchunga mifugo badala ya kuwapeleka shule. Msingi wa kauli ya Macha ni kuhakikisha watoto wote wenye umri wa kusoma wanaandikishwa na wanahudhuria shuleni, akidokeza kuwa...
  10. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Trump asitisha misaada ya ARV na dawa za Malaria kwa muda

    Utawala wa Rais Donald Trump umeamua kusitisha usambazaji wa dawa muhimu za kuokoa maisha kwa magonjwa ya VVU, malaria, na kifua kikuu, pamoja na vifaa vya matibabu kwa watoto wachanga, katika nchi zinazosaidiwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID). Hatua hiyo ni sehemu ya...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Soseji zapigwa marufuku nchini Korea Kaskazini!

    Katika muendelezo wa sheria za ajabu na za hovyo huko Korea Kaskazini, mtawala wa taifa hilo Kim Jong (Kiduku) amepiga marufuku ulaji wa soseji akisema ni chakula cha utamaduni uliopitiliza wa kibepari wa magharibi. --- North Koreans have reportedly been banned from eating hot dogs as part of a...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Harmonize umekurupuka, eti amepiga marufuku wimbo wake 'Yanga Bingwa' kuchezwa popote kisa kipondo cha aibu na Tabora United

    Wakuu Huu sasa ni uamuzi wa kipuuzi kaufanya Harmonize, kusitisha wimbo eti kisa mnakereka na kipigo hiyo haipunguzi maumivu kwa mashabiki. acha goma lilie, piga hela za views Yanga wajipange upya kwani ligi bado ni mbichi hii. ===== Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize amepiga marufuku...
Back
Top Bottom