Sendi navigator
Member
- Dec 21, 2012
- 67
- 4
Nisiku Kadhaa Zimebaki Ili Wale Wa Mzumbeni Turipoti Chuo Na Baadhi Ya Vyuo Wakiwa Wameripot Inasemekana Kama Chuo Chako Kimefungua Inabidi Mwanafunzi Aripoti Chuo Alichopangiwa Huku Akilipa At Least 50% Ya Ada
Je Heslb Wakitoa Mkopo Huku Huna Hata 0% Kwa Maisha Haya Ya Watoto Wa Kulima Tutasoma Kweli
2 Hiyo Ada Hata Nusu Itapatikana Na Matumizi Mengine? Wadau Mi Mpaka Nachoka Maana Ada Ni Milion 1 Na Laki 8 Na Badoo Mambo Mengine Niko Njia Panda Mimi