Kwa hili HESLB imeniacha njiapanda

Kwa hili HESLB imeniacha njiapanda

Cha Ajabu Wote Ni Watanzania Na Watoto Wa Wakulima Et Kuna Wengine Wanapata Mkopo 100% Huku Wengine _ Hivi Ni Haki Kweli Kwani Wote Tukisomea Udakitari Na Uwalimu Nani Atakuwa Mwanasheria MI NASONONEKA SANA NATAMANI HATA KUWAKOSEA ADABU HAO HESLB kwa ujinga wao
kwaio watakaopata mkopo ni wanaochukua course za ualim na udaktari:angry:
 
mbona vyuoni wanasema waz tuu kama unasubir mkopo usubir wao hawana shida ukiona jinna ndo utaratibua utafuata ila direct cost ndo za kuanza nazo kama unatka kulipa ila pia haufungwi unaweza usubir mpaka mkopo ila kunadead line ya usajiri pia
 
Sijui Tutafanya Nin Na Wanasema Usiposhiriki Orietantion Weak Huasajiliwi

Chuo gani hicho Mkuu? Labda kama ni orientation weak, lakini kama ni orientation week siyo kigezo kimojawapo cha kutosajiliwa chuo maana vyuo vingi huwa wanatoa allowance ya siku 14!
 
Chuo gani hicho Mkuu? Labda kama ni orientation weak, lakini kama ni orientation week siyo kigezo kimojawapo cha kutosajiliwa chuo maana vyuo vingi huwa wanatoa allowance ya siku 14!

Hahaha nimeipenda hii
 
Jamani Kuna Vitu Vya Wazi Mtu Akiuliza Et Kwani Madocta Na Walimu Ndo Wanaopata Mkopo Wenyewe Ajiulize Wanasheria Wangapi Wanakosa Mkopo Au Faculty Nyingine Na Alishawahi Sikia Madocta Wamekosa Mkopo Au Walimu
 
Back
Top Bottom