Sendi navigator
Member
- Dec 21, 2012
- 67
- 4
Sijui Tutafanya Nin Na Wanasema Usiposhiriki Orietantion Weak Huasajiliwi
pesa zimeshaachiwa jamani zilitakiwa kupelekwa vyuoni toka wiki hii mwishoni au kuanzia jumatatu izo ni habari kutoka kwenye web Yao helsb.
HYO WEB UNAIPITIA WEWE PEKE AKO AU ?????? Maana cjaona palipoandikwa ulichoandika
:hail:
Hii ni hatari sana udsm tunaanza report tar 11 lakn hd sasa hatujui kama tutapata mkopo au hatupati! Heslb wametulia tul, hawana hata wazo. Cjui wana malengo gan na watoto tunaotoka ktk familia za wakulma. Mwenye ufahamu zaid kuhus hil atujuze au utaratbu ndio uko hvyo
wengine direct cost 400000/= sasa hata ukipata mkopo ni tabu tu