vallentino86
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 532
- 213
kwaio watakaopata mkopo ni wanaochukua course za ualim na udaktari:angry:Cha Ajabu Wote Ni Watanzania Na Watoto Wa Wakulima Et Kuna Wengine Wanapata Mkopo 100% Huku Wengine _ Hivi Ni Haki Kweli Kwani Wote Tukisomea Udakitari Na Uwalimu Nani Atakuwa Mwanasheria MI NASONONEKA SANA NATAMANI HATA KUWAKOSEA ADABU HAO HESLB kwa ujinga wao
Sijui Tutafanya Nin Na Wanasema Usiposhiriki Orietantion Weak Huasajiliwi
Chuo gani hicho Mkuu? Labda kama ni orientation weak, lakini kama ni orientation week siyo kigezo kimojawapo cha kutosajiliwa chuo maana vyuo vingi huwa wanatoa allowance ya siku 14!