Kwa hili jambo Diamond ameonesha ukomavu wa hali ya juu, apewe hongera yake

Umeona sasa unajiropokea tena.

Kaa tulia uulize kama kitu hukijui.
Hakuna unaliandika ambalo ni jipya umeongea uongo uongo tu kujifanya inside person wakati interview diamond alipomtusi mwenzie kila mtu alisikia siku hiyo na hapo hapo B12 akasema Ommy kamcheki kuwa na yeye anataka intervie ambapo kesho yake naye alifanyiwaw interview akaanzia mbali sana akaeleza jinsi walivyofahamiana na jamaa toka hata hajatoka kimziki na akasema kuwa ni DIamond aliyekuwa anamshawishi aachane na mambo ya bendi afanye mziki solo, mpaka wanapanda kipikipiki cha diamond alichonunua wakifika mliman ommy anateremka diamond anaendela anamsubiria juu.
Akaeleza mpaka jamaa anaanza kumkwepa, hadi Salam Sk kuw alimpgia simu akafanye ngoma na davido wakati kaja perform anaenda anakuta diamond ashafika wako chumbani Tecno kipindi hicho hajaanza kuimba akiwa ana set mini studio warekodi ngoma na yeye hakumaind aksema its all good diamond akitoka international atamshika mkono..
 
Yaani ingekuwa Mimi ndo Dai nisingempost yaani mama yangu mzazi unitukanie ndo nikuangalie tu.Mi tusingeelewana milele.
 
Kiukweli mafanikio ya msanii Diamond Platnumz hayaji kibahati bahati bali mafanikio yake yanachagizwa na mambo mengi sana achilia mbali suala la kujituma kwa nguvu zake, Diamond ana roho ya utu sana hasa kwa wasanii wenzake hapa nchini japo wengi hawampendi akiwemo hasimu wake mkubwa ambaye hapo awali walikuwa maswahiba sana, hapa namzungumzia Omari Nyembo (Ommy Dimpoz).

Miezi michache iliyopita Ommy Dimpozi alimdhalilisha kwa kiasi kikubwa mitandaoni na uraiani Diamond Platnumz pamoja na mama yake mzazi (Bi Sandra) kwa kueneza habari za uzushi kwamba amelala na mama Diamond mara nyingi sana na pia akaendelea kumchafua Bi Sandra kwamba vijana wengi sana wamemtafuna jambo ambalo liliibua ugomvi mkubwa ambao bado kidogo Ommy Dimpoz apelekwe mahakamani kwa kesi ya udhalilishaji ,lakini yote kwa yote Diamond alimtuliza mama yake na kumsihi amsamehe bure maana hajui alitendalo.

Licha ya Diamond mara kwa mara kutafuta suluhu ili bifu lake na Ommy Dimpoz liishe bado Ommy aliendelea kumvimbia Diamond.

Kwa kifupi Diamond alitaka bifu lao liishe tangu 2014 walipokutana South Africa kwenye tuzo za Afrimma ambapo Diamond alimfuata Ommy na kumpa mkono lakini Ommy aliikataa salamu ile na kujibu majibu ya hovyo ,Diamond alilichukululia suala hilo kawaida tu na kupotezea .

Ommy akaona ili amuumize zaidi Diamond akaona atengeneze urafiki na Ali Kiba lakini kumbe anajikomoa mwenyewe kwa maana alizidi kuporomoka kimuziki tangu aunge urafiki na Kiba.

Yote kwa yote Diamond akuyaweka moyoni badala yake alijikita zaidi katika muziki wake ili upige hatua zaidi, na kwa kuonesha kwamba yeye ni mkomavu wa kifikra leo Diamond amempost swahiba wake wa siku nyingi Ommy Dimpoz na kumuombea kwa Mungu amponye haraka ili arudi tena katika shughuli zake za kila siku za kujenga taifa.

View attachment 846754View attachment 846755
Kawaida sana mdogo wangu watoto wa kike ndio hukaa na mambo rohoni
 
Si anamuombea dingi yake apone. Kwani kuna shida gani?
 
Sorry huwa sina tabia ya kufollow wasio na madini,hiyo post ya dimond ya lini? Navyojua dimpoz anaumwa mda mrefu sana si chini ya miezi 6,hii post imeletwa leo nahisi dimond amepost leo,najiuliza mda wote alikuwepo wapi tangia dimpoz aanze kuumwa? ina maana dimond amejua leo? Kama amepost leo namuomba aache unafiki na uchuro.
 
Kitu cha kawaida sana hicho hasa kwa wanaume...

Lakin kwenu wavulana lazima mshangae
[emoji23] wavulana wa sikuizi hawatofautian na Dada zao.... Wanapenda udaku kuliko msosi
Yaan yupo tayari kulala njaa ila asikose umbea
 
Back
Top Bottom