Kwa hili jambo Diamond ameonesha ukomavu wa hali ya juu, apewe hongera yake

Umeona sasa unajiropokea tena.

Kaa tulia uulize kama kitu hukijui.
Hakuna unaliandika ambalo ni jipya umeongea uongo uongo tu kujifanya inside person wakati interview diamond alipomtusi mwenzie kila mtu alisikia siku hiyo na hapo hapo B12 akasema Ommy kamcheki kuwa na yeye anataka intervie ambapo kesho yake naye alifanyiwaw interview akaanzia mbali sana akaeleza jinsi walivyofahamiana na jamaa toka hata hajatoka kimziki na akasema kuwa ni DIamond aliyekuwa anamshawishi aachane na mambo ya bendi afanye mziki solo, mpaka wanapanda kipikipiki cha diamond alichonunua wakifika mliman ommy anateremka diamond anaendela anamsubiria juu.
Akaeleza mpaka jamaa anaanza kumkwepa, hadi Salam Sk kuw alimpgia simu akafanye ngoma na davido wakati kaja perform anaenda anakuta diamond ashafika wako chumbani Tecno kipindi hicho hajaanza kuimba akiwa ana set mini studio warekodi ngoma na yeye hakumaind aksema its all good diamond akitoka international atamshika mkono..
 
Yaani ingekuwa Mimi ndo Dai nisingempost yaani mama yangu mzazi unitukanie ndo nikuangalie tu.Mi tusingeelewana milele.
 
Kawaida sana mdogo wangu watoto wa kike ndio hukaa na mambo rohoni
 
Si anamuombea dingi yake apone. Kwani kuna shida gani?
 
Sorry huwa sina tabia ya kufollow wasio na madini,hiyo post ya dimond ya lini? Navyojua dimpoz anaumwa mda mrefu sana si chini ya miezi 6,hii post imeletwa leo nahisi dimond amepost leo,najiuliza mda wote alikuwepo wapi tangia dimpoz aanze kuumwa? ina maana dimond amejua leo? Kama amepost leo namuomba aache unafiki na uchuro.
 
Kitu cha kawaida sana hicho hasa kwa wanaume...

Lakin kwenu wavulana lazima mshangae
[emoji23] wavulana wa sikuizi hawatofautian na Dada zao.... Wanapenda udaku kuliko msosi
Yaan yupo tayari kulala njaa ila asikose umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…