Kwa hili JK unatutania!


-----------------------------------------------------------------
 
jipatie nakala yako kujisomea tulivyofunua ATCL kwa mara ya mwisho.
 
jipatie nakala yako kujisomea tulivyofunua ATCL kwa mara ya mwisho.
Mkuu Mwanakijiji,
Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu huyu Rafiki yetu na Rais wetu kipenzi ni kwanni anaogopa kufanya maamuzi madogo yaliyo ndani ya uwezo wake.


Kama kosa siyo kina mataka ambaye na shirika kuwa katika khali ngumu yeye na wakurugenzi wenzake waliamuna kununua magari ya kifahari sita na kujilipa Posho kubwa atueleze.Na kama watendaji wa wizara ndiyo tatizo anaona shida gani kuwang'oa?


Huwa nahisi kuna tatizo sehemu,Nashindwa kujua ni wapi?Ila nahisi kuna sehemu tulikosea.

Tulipokose ni pale tulipoanza kuchagua watawala badal ya kuchagua Viongozi.

Matatzio yamekuwa Mengi,angali vijana wa chuo yaani ni taabu tupu ..Hivi Tanzania inaenda wapi?
 
Last edited:
Mkuu Mwanakijiji,
naisi kuna sehemu tulikosea.NA tulipokosea ni pale tulipoanza kuchagua watawala badal ya kuchagua Viongozi.

Matatzio yamekuwa Mengi,angali vijana wa chuo yaani ni taabu tupu ..Hivi Tanzania inaenda wapi?

Hili la kuchagua watawala badala ya viongozi.. did/do we have a choice?
Kuna utaratibu unaoweza kutumika kuchagua viongozi na si watawala?
 
Washauri wa JK wooooooooote ni Mambumbumbu, samahanini kwa=kusema hivyo ila ukweli ndio huo kwani Ebu angaliea ATCL ilivyoliwa mpaka itaisha then wamepewa tena Pesa still wanasema hazitoshi.

Haya Shirika la Reli Je???. Yaaaaaaaaaani kweli wanatuona sisi ni Wendawazimu. Umeshawahi kuona wapi huku duniani Mwekezaji kutoka nje ya nchi anashindwa kuendesha shirika halafu serikali husika inamsaidia kulipa mishahara ya wafanyakazi wake na other Operating Costs. Huyu JK na timu yake wamelogwa au?

Hawakujifunza kwa wale makaburu wa TANESCO,Wazungu wale wa dawasa? Kweli 10% hizi zitatumaliza
 
Serikali ya awamu ya nne kwa kweli inasikitisha sana, inatuongezea machungu tu wananchi wake badala ya kuleta hayo maisha bora kwa kila Mtanzania!
 
Wakuu wa jamvi,

Hivi ile sokomoko ya pale benki ya posta ilizimwa na nani. Maana natonywa na akina sukununu ati wale wakuu walioibua ufisadi kwenye jamvi hili wamefukuzwa kazi wote na bado mkuu wao ana mipango ya kuwaondoa wengine watatu ambao wote ni wakulugenzi na mbaka sasa ameweka vijana wake ambao anajua hawawezi kumsema kwa lolote zaidi ya kuwa YES MEN wake tu. hivi huyo Kiwele ana nini cha kujivunia na nani anamlinda hapo posta. je wana bodi au imekufa kabisa. benkki inakufa, kila ukenda tawini kuchukua vijisenti vyako unaambiwa mtandao mbovu kumbe ni kuficha uozo wa kukosa pesa za kulipa wateja. jamani hii ni nini, benki au kampuni ya huyo kiwele??
 
Wabongo kweli rais tunaye, anapishana kidogo tu na bogus head!!
 
JK anataka na yeye kutenda miujiza ya kusema kitu kiwe na kinakuwa kama Yesu alivyobadili maji na kuwa divai...........
 
Mtakumbuka aliwahi kwenda sokoni Kariakoo wananchi wakamwambia vyakula ni aghali sana akaagiza washushe bei na hakuna aliyeshusha ............
 
Mtakumbuka aliwahi kwenda sokoni Kariakoo wananchi wakamwambia vyakula ni aghali sana akaagiza washushe bei na hakuna aliyeshusha ............

Nilidhani alisoma shahada ya Uchumi pale Mlimani au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…