Kwa hili Katibu Mkuu wa UN yuko sahihi 100%, ila kwa Wazungu hapa ameshawakwaza na asipochukiwa nao sijui..!!

Kwa hili Katibu Mkuu wa UN yuko sahihi 100%, ila kwa Wazungu hapa ameshawakwaza na asipochukiwa nao sijui..!!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Africa is underrepresented in the global financial architecture, just as it lacks a permanent seat on the Security Council.

The world has changed. Global governance must change with it.

We need reforms to make global frameworks truly universal & representative of today's world.

Chanzo: @antonioguterres huko X ( zamani Twitter )

Kwa ninavyowajua Wazungu na hasa wasivyotupenda Waafrika kwa Kauli hii ya huyo UN Secretary General nikisikia Kauwawa ( Kauliwa ) au Kafa kwa Kifo cha Kutatanisha au hata kupatwa na Jambo baya GENTAMYCINE sitoshangaa sana japo amesema Ukweli mno ambao Kwao ( Wababe ) ni Ukweli Mchungu.
 
Utawala wa Marekani na washirika wa sera za kibepari watakuwa wamefura kama swira kwa kauli hiyo ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.

Kwa nafasi aliyonayo sasa,uwepo wake kwenye ule ulingo hutegemea kwa kiasi kikubwa uungwaji mkono wa Marekani na washirika wake.

kama ameanza kuonyesha msimamo wake wazi wazi tena unaoegemea upande wa Africa, basi Katibu Mkuu huyu atakuwa wa msimu mmoja.
 
Una hakika wazungu wanakuchukia ila sio viongozi wako ?
 
wachawi ni sisi wenyewe kama KKKT wanapiga bao la mkono chini ya mjerumani mweusi unategemea nn kwenye maeneo nyeti si watakulana vichwa.
 
Back
Top Bottom