Kwa hili la Mbowe Marekani na Umoja wa Ulaya wamejitia aibu, ni rasmi sasa kuna kitu wanakitafuta Tanzania

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Tangu mwanzo walio wengi walianza kuwa na shaka juu ya haya mataifa ya nje namna yanavyoitazama Tanzania.

Tukio la kuumia kwa mh Mbowe kama inavyodaiwa kuwa alishambuliwa lilileta taharuki kubwa kiasi cha mataifa haya makubwa kuja na matamko mengi.

Jambo la kushangaza ni kitendo cha Marekani na Umoja wa Ulaya kupitia balozi zao kutoa matamko yaliyoashiria kuihusisha serikali na tukio hilo.

Jambo ambalo si sawa kidiplomasia. Taarifa ya polisi imekuja kuwatia aibu baada ya kuthibitisha kuwa mh Mbowe hakushambuliwa na mtu.

Kila Jambo linalofanyika hapa kwetu wamekuwa wepesi sana kutoa matamko haraka bila kuyafanyia utafiti wa kutosha hii inatia shaka kuwa Kuna agenda za siri wanazo dhidi yetu.

Tangu Magufuli aunde serikali yenye msimamo mikali na kujiamini katika mambo mbali mbali basi imekuwa kesi kubwa kwa hawa watu.

Mifano mizuri hii:

Walilazimisha tuna Ebora kwamba tunaficha wagonjwa.

Wakatangaza Tanzania kuna magaida yatashambulia masaki bila kushirikisha serikali.

Wakazuia mkuu wa mkoa eti ananyima watu haki ya kuishi.

Kwenye corona ndio kabisaa kila siku ni kuisema Tanzania tu wakati huko kwao wanakufa maelfu.

Leo tena wamekuja na matamko kibao kuhusu kuumia kwa Mh Mbowe, wakishutmu serikali.
Haya leo wameumbuka tena baada ya ukweli kuwekwa wazi.

Kila siku wamekuwa watu wa matamko tu kwetu swali la kujiuliza ni je wanatupenda sana au ni kipi hasa?
Wana nia gani na sisi?

Wananufaika na nini na huu uzushi wanao utangaza dhidi ya Tanzania?

Watanzania tusipokuwa makini Hawa watu watakuja kutuundia vikundi vya waasi hapa kwetu kama hizi propaganda zao zitafeli.

Hawana upendo wowote kwetu hawa ni maharamia tu.
 
Dam55, Wamejitahidi kumtetea mwamba lakini wapi!

IMG-20200612-WA0144.jpeg
IMG-20200612-WA0145.jpeg
 
Ukitaka kumdharau mtu, unamwacha tu anajiropokeaaa wewe unaendelea na kazi,

Hawa wathungu wapuuzwe kama Vyama vinavyojipendekeza kwao vinavyozidi kupuuzwa na kila raia
 
Utendaji wa viongozi la Jeshi la Polisi Tanzania ni wakutiliwa mashaka sana, na hasa wanapokuwa wanashughulikia masuala ya jinai yanayowatokea viongozi wa vyama vya upinzani walio tishio kwa chama tawala. Wala siyo siri wanatumika sana kwa maslahi ya CCM.

Tusingelitarajia jipya kutokana na tukio lenye sura ya kijinai kutokana na maelekeo ya awali ya Mh. Mbowe.

My take:
Sidhani kwa mtu aina ya Mh. Mbowe, jinai yoyote ile ya kweli dhidi yake inaweza kuisha kizembezembe. Nafikiri hapa ndipo ni mwanzo wa mchezo wenyewe, ni ngumu sana kujitangazia ushindi wa mapema.
 
Wamejitia aibu unadhani nao wanategemea taarifa kutoka jeshi lenu la polisi linalofanya kazi kisiasa?

Wao wanaenda mbali zaidi ndio maana tangu waseme Bashite ananyima watu haki yao ya kuishi kaufyata mkia mpaka leo.
 
Hili tukio kwa wenye uwezo mzuri wa kufikiri walihoji uwepo wa red brigade, uwepo wa walinzi nyumbani kwa mbowe
Afadhali angesema tu kateleza kuliko kusingizia mambo, Mungu hapendi uongo.
 
Dam55,

Ya kwao yanawashinda wanaua watu weusi kila kukicha lkn hatusikii matamko ya kulaani vitendo hivyo. Wanapoilaumu Serikali yetu kuhusu Mbowe kuanguka kwa ulevi, wanataka Serikali iwe inampangia Mbowe kinywaji cha kunywa na wamsindikize hadi kitandani kwake?
 
Tangu mwanzo walio wengi walianza kuwa na shaka juu ya haya mataifa ya nje namna yanavyoitazama Tanzania.

Tukio la kuumia kwa mh Mbowe kama inavyodaiwa kuwa alishambuliwa lilileta taharuki kubwa kiasi cha mataifa haya makubwa kuja na matamko mengi.

Jambo la kushangaza ni kitendo cha Marekani na Umoja wa Ulaya kupitia balozi zao kutoa matamko yaliyoashiria kuihusisha serikali na tukio hilo.
Jambo ambalo si sawa kidiplomasia.
Taarifa ya polisi imekuja kuwatia aibu baada ya kuthibitisha kuwa mh Mbowe hakushambuliwa na mtu.

Kila Jambo linalofanyika hapa kwetu wamekuwa wepesi sana kutoa matamko haraka bila kuyafanyia utafiti wa kutosha hii inatia shaka kuwa Kuna agenda za siri wanazo dhidi yetu.

Tangu Magufuli aunde serikali yenye msimamo mikali na kujiamini katika mambo mbali mbali basi imekuwa kesi kubwa kwa hawa watu.

Mifano mizuri hii
Walilazimisha tuna Ebora kwamba tunaficha wagonjwa.

Wakatangaza Tanzania kuna magaida yatashambulia masaki bila kushirikisha serikali.

Wakazuia mkuu wa mkoa eti ananyima watu haki ya kuishi.

Kwenye corona ndio kabisaa kila siku ni kuisema Tanzania tu wakati huko kwao wanakufa maelufu.

Leo tena wamekuja na matamko kibao kuhusu kuumia kwa mh Mbowe, wakishutmu serikali.
Haya leo wameumbuka tena baada ya ukweli kuwekwa wazi.

Kila siku wamekuwa watu wa matamko tu kwetu swali la kujiuliza ni je wanatupenda sana au ni kipi hasa??
Wana nia gani na sisi?

Wananufaika na nini na huu uzushi wanao utangaza dhidi ya Tanzania.?

Watanzania tusipokuwa makini Hawa watu watakuja kutuundia vikundi vya waasi hapa kwetu kama hizi propaganda zao zitafeli.

Hawana upendo wowote kwetu hawa ni maharamia tu.
Nitaendelea kuamini taarifa za Marekani na Ulaya kuliko hizi za kupikwa
 
Ili wajiridhishe kuwa wamepata aibu hebu waruhusuni waje wachunguze tukio hili na yaliyopita.
 
Tangu mwanzo walio wengi walianza kuwa na shaka juu ya haya mataifa ya nje namna yanavyoitazama Tanzania.

Tukio la kuumia kwa mh Mbowe kama inavyodaiwa kuwa alishambuliwa lilileta taharuki kubwa kiasi cha mataifa haya makubwa kuja na matamko mengi.

Jambo la kushangaza ni kitendo cha Marekani na Umoja wa Ulaya kupitia balozi zao kutoa matamko yaliyoashiria kuihusisha serikali na tukio hilo.

Jambo ambalo si sawa kidiplomasia. Taarifa ya polisi imekuja kuwatia aibu baada ya kuthibitisha kuwa mh Mbowe hakushambuliwa na mtu.

Kila Jambo linalofanyika hapa kwetu wamekuwa wepesi sana kutoa matamko haraka bila kuyafanyia utafiti wa kutosha hii inatia shaka kuwa Kuna agenda za siri wanazo dhidi yetu.

Tangu Magufuli aunde serikali yenye msimamo mikali na kujiamini katika mambo mbali mbali basi imekuwa kesi kubwa kwa hawa watu.

Mifano mizuri hii:

Walilazimisha tuna Ebora kwamba tunaficha wagonjwa.

Wakatangaza Tanzania kuna magaida yatashambulia masaki bila kushirikisha serikali.

Wakazuia mkuu wa mkoa eti ananyima watu haki ya kuishi.

Kwenye corona ndio kabisaa kila siku ni kuisema Tanzania tu wakati huko kwao wanakufa maelfu.

Leo tena wamekuja na matamko kibao kuhusu kuumia kwa Mh Mbowe, wakishutmu serikali.
Haya leo wameumbuka tena baada ya ukweli kuwekwa wazi.

Kila siku wamekuwa watu wa matamko tu kwetu swali la kujiuliza ni je wanatupenda sana au ni kipi hasa?
Wana nia gani na sisi?

Wananufaika na nini na huu uzushi wanao utangaza dhidi ya Tanzania?

Watanzania tusipokuwa makini Hawa watu watakuja kutuundia vikundi vya waasi hapa kwetu kama hizi propaganda zao zitafeli.

Hawana upendo wowote kwetu hawa ni maharamia tu.
Wewe akili yako ndogo saana ..mpaka sasa hujajua tu nini Jiwe anakitafuta..jambo la kusikitisha ni kwamba wewe uliyeandika huu upuuzi hata udiwani hutakaa uone....
 
Tangu mwanzo walio wengi walianza kuwa na shaka juu ya haya mataifa ya nje namna yanavyoitazama Tanzania.

Tukio la kuumia kwa mh Mbowe kama inavyodaiwa kuwa alishambuliwa lilileta taharuki kubwa kiasi cha mataifa haya makubwa kuja na matamko mengi.

Jambo la kushangaza ni kitendo cha Marekani na Umoja wa Ulaya kupitia balozi zao kutoa matamko yaliyoashiria kuihusisha serikali na tukio hilo.

Jambo ambalo si sawa kidiplomasia. Taarifa ya polisi imekuja kuwatia aibu baada ya kuthibitisha kuwa mh Mbowe hakushambuliwa na mtu.

Kila Jambo linalofanyika hapa kwetu wamekuwa wepesi sana kutoa matamko haraka bila kuyafanyia utafiti wa kutosha hii inatia shaka kuwa Kuna agenda za siri wanazo dhidi yetu.

Tangu Magufuli aunde serikali yenye msimamo mikali na kujiamini katika mambo mbali mbali basi imekuwa kesi kubwa kwa hawa watu.

Mifano mizuri hii:

Walilazimisha tuna Ebora kwamba tunaficha wagonjwa.

Wakatangaza Tanzania kuna magaida yatashambulia masaki bila kushirikisha serikali.

Wakazuia mkuu wa mkoa eti ananyima watu haki ya kuishi.

Kwenye corona ndio kabisaa kila siku ni kuisema Tanzania tu wakati huko kwao wanakufa maelfu.

Leo tena wamekuja na matamko kibao kuhusu kuumia kwa Mh Mbowe, wakishutmu serikali.
Haya leo wameumbuka tena baada ya ukweli kuwekwa wazi.

Kila siku wamekuwa watu wa matamko tu kwetu swali la kujiuliza ni je wanatupenda sana au ni kipi hasa?
Wana nia gani na sisi?

Wananufaika na nini na huu uzushi wanao utangaza dhidi ya Tanzania?

Watanzania tusipokuwa makini Hawa watu watakuja kutuundia vikundi vya waasi hapa kwetu kama hizi propaganda zao zitafeli.

Hawana upendo wowote kwetu hawa ni maharamia tu.

Yaani kuna Mtanzania gani amawaamini Polisi kwa upinzani???
 
Mbona tulishawang'amuwa siku nyingi na wataendelea kuumbuka kila siku!! Wanaingizwa chaka kila mara na wasaliti wanaowafadhiri.
 
Back
Top Bottom