Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani bunge la siku hizi moja ya kazi zake ni kuitetea serikali?Bunge litaacha vipi kuongea sasa wakati tukio hilo linahusishwa na serikali kwa uzushi uzushi sasa kwanini bunge lisijadili wakati watu wanavumisha uzushi wa makusudi kuchafua nchi, tena mzushi mwenyewe ni mmoja kati ya wabunge wa bunge hilo hilo.
Yaani unauliza polisi wametoa wapi ushahidi?? aisee!!polisi wamepata wapi ushahidi wa taarifa waliyoitoa?
machoni mwa Watanzania tulio wengi pamoja na wadau wa maendeleo kama USA, EU, nk ile taarifa ya polisi ni sawa na karatasi ya kuchambia tu.
Ni lipi hapo la kushangaza kama sisi wenyewe ndio tumejiwekea hali ya kutoaminiwa na wengine. Mara hii unajifanya hukumbuki yote yaliyotokea hapa nchini isipokuwa tu hilo la Mbowe?Jambo la kushangaza ni kitendo cha Marekani na Umoja wa Ulaya kupitia balozi zao kutoa matamko yaliyoashiria kuihusisha serikali na tukio hilo.
Tangu lini mlevi wa pombe akapelekwa hospitali halafu akadungwa madawa makali makali.Tangu mwanzo walio wengi walianza kuwa na shaka juu ya haya mataifa ya nje namna yanavyoitazama Tanzania.
Tukio la kuumia kwa mh Mbowe kama inavyodaiwa kuwa alishambuliwa lilileta taharuki kubwa kiasi cha mataifa haya makubwa kuja na matamko mengi.
Jambo la kushangaza ni kitendo cha Marekani na Umoja wa Ulaya kupitia balozi zao kutoa matamko yaliyoashiria kuihusisha serikali na tukio hilo.
Jambo ambalo si sawa kidiplomasia. Taarifa ya polisi imekuja kuwatia aibu baada ya kuthibitisha kuwa mh Mbowe hakushambuliwa na mtu.
Kila Jambo linalofanyika hapa kwetu wamekuwa wepesi sana kutoa matamko haraka bila kuyafanyia utafiti wa kutosha hii inatia shaka kuwa Kuna agenda za siri wanazo dhidi yetu.
Tangu Magufuli aunde serikali yenye msimamo mikali na kujiamini katika mambo mbali mbali basi imekuwa kesi kubwa kwa hawa watu.
Mifano mizuri hii:
Walilazimisha tuna Ebora kwamba tunaficha wagonjwa.
Wakatangaza Tanzania kuna magaida yatashambulia masaki bila kushirikisha serikali.
Wakazuia mkuu wa mkoa eti ananyima watu haki ya kuishi.
Kwenye corona ndio kabisaa kila siku ni kuisema Tanzania tu wakati huko kwao wanakufa maelfu.
Leo tena wamekuja na matamko kibao kuhusu kuumia kwa Mh Mbowe, wakishutmu serikali.
Haya leo wameumbuka tena baada ya ukweli kuwekwa wazi.
Kila siku wamekuwa watu wa matamko tu kwetu swali la kujiuliza ni je wanatupenda sana au ni kipi hasa?
Wana nia gani na sisi?
Wananufaika na nini na huu uzushi wanao utangaza dhidi ya Tanzania?
Watanzania tusipokuwa makini Hawa watu watakuja kutuundia vikundi vya waasi hapa kwetu kama hizi propaganda zao zitafeli.
Hawana upendo wowote kwetu hawa ni maharamia tu.
Wewe umekuwa muungwana, umejibu hoja. The issue is this, as the countries of the world are doing, we need the trend of coronavirus/covid=19 infection. Ni hilo tu!Mkusanye wana habari, ilivyo kawaida yenu, mtembelee hospitali zilizofurika wagonjwa wa COVID-19 na/au makaburi walikozikwa, kuuthibitishia umma wa dunia kuwa Serikali inaficha ukweli
Porojo za Polisi wetu hizo[emoji3]Tangu mwanzo walio wengi walianza kuwa na shaka juu ya haya mataifa ya nje namna yanavyoitazama Tanzania.
Tukio la kuumia kwa mh Mbowe kama inavyodaiwa kuwa alishambuliwa lilileta taharuki kubwa kiasi cha mataifa haya makubwa kuja na matamko mengi.
Jambo la kushangaza ni kitendo cha Marekani na Umoja wa Ulaya kupitia balozi zao kutoa matamko yaliyoashiria kuihusisha serikali na tukio hilo.
Jambo ambalo si sawa kidiplomasia. Taarifa ya polisi imekuja kuwatia aibu baada ya kuthibitisha kuwa mh Mbowe hakushambuliwa na mtu.
Kila Jambo linalofanyika hapa kwetu wamekuwa wepesi sana kutoa matamko haraka bila kuyafanyia utafiti wa kutosha hii inatia shaka kuwa Kuna agenda za siri wanazo dhidi yetu.
Tangu Magufuli aunde serikali yenye msimamo mikali na kujiamini katika mambo mbali mbali basi imekuwa kesi kubwa kwa hawa watu.
Mifano mizuri hii:
Walilazimisha tuna Ebora kwamba tunaficha wagonjwa.
Wakatangaza Tanzania kuna magaida yatashambulia masaki bila kushirikisha serikali.
Wakazuia mkuu wa mkoa eti ananyima watu haki ya kuishi.
Kwenye corona ndio kabisaa kila siku ni kuisema Tanzania tu wakati huko kwao wanakufa maelfu.
Leo tena wamekuja na matamko kibao kuhusu kuumia kwa Mh Mbowe, wakishutmu serikali.
Haya leo wameumbuka tena baada ya ukweli kuwekwa wazi.
Kila siku wamekuwa watu wa matamko tu kwetu swali la kujiuliza ni je wanatupenda sana au ni kipi hasa?
Wana nia gani na sisi?
Wananufaika na nini na huu uzushi wanao utangaza dhidi ya Tanzania?
Watanzania tusipokuwa makini Hawa watu watakuja kutuundia vikundi vya waasi hapa kwetu kama hizi propaganda zao zitafeli.
Hawana upendo wowote kwetu hawa ni maharamia tu.
Tangu mwanzo walio wengi walianza kuwa na shaka juu ya haya mataifa ya nje namna yanavyoitazama Tanzania.

Usitegemee mwigulu coz bahati imerudi Mara mbili eti afanye kosaMimi binafsi nina wasiwasi sana na uhusika wa vijana wa UVCCM ama wa Green Guard kwa maelekezo toka juu wakishirikiana na polisi wetu wa Dodoma, pia nahitaji kusikia sauti ya Mh. Mwigulu akiwa ktk wizara mpya anayoihudumu na tena kwa kuzingatia kwake kuapishwa kwa kipekee kule Chato.
Hawa ulitegemea wasemeJe ?! Jamani
hawana ushahidiYaani unauliza polisi wametoa wapi ushahidi?? aisee!!
Shida ni kwamba bado Kuna watu wenye mawazo ya kikoloni ya kuamini wazungu ndio wajuzi zaidi kuliko waafrica hapa ndio kosa lilipo nadhani na wewe pia ni mmoja wa wahanga wa hilo tatizo mkuu.Hivi kwa akili yenu kuna mzungu wa kuamini huu uchafu wa polisi? Hao wazungu mnawachukukulia poa? Walishavuka kwenye huu ujinga zaidi ya karne moja iliyopita.