William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Moroko huyu anayebebwa na wenzake.
Aliyeishindwa Namungo.
Viongozi wanatukomesha tuchukue hatua
Aliyeishindwa Namungo.
Viongozi wanatukomesha tuchukue hatua
Wangempa mgunda tu. Moroco huyuhuyu ambaye Aliishindwa namungo. Waache ujinga. Washabiki tuingie uwanjani washabiki tuLabda ulitaka Simba wafanye nn na muda huu mdogo uliopo? Hebu tuwe realistic jamani sio kila muda ni lawama tu. Kupata kocha na wasaidizi wake na pia kushughulikia vibali ndani ya siku 4 kabla ya game ya marudiano uongo na wakati huo timu inahitaji maandalizi. Tuache lawama muda mwingine
Moroko hapaswi kuwa sehemu ya benchi la ufundi ata kwa dk 10 SIMBA PALEHeis caretaker bado tunatafuta kocha
Wakati mwingine uwe unautesa kidogo ubongo wako. Unataka Juma Mgunda apewe timu kwa siku chache, na wakati tayari anafundisha Namungo? Au inawezekana akaiacha Namungo kwa wiki moja, na kuja kuifundisha simba! Halafu arejee tena Namungo?Wangempa mgunda tu. Moroco huyuhuyu ambaye Aliishindwa namungo. Waache ujinga. Washabiki tuingie uwanjani washabiki tu
Rejea mechi zote za makocha wote waliopita Simba. Niambie yupi anarekodi nzuri za mechi na matokeo kumpita mgunda alafu uje tujadili.Wakati mwingine uwe unautesa kidogo ubongo wako. Unataka Juma Mgunda apewe timu kwa siku chache, na wakati tayari anafundisha Namungo? Au inawezekana akaiacha Namungo kwa wiki moja, na kuja kuifundisha simba! Halafu arejee tena Namungo?
Maana viongozi wako wana mpango wa kumuajiri kocha mwingine baada ya huo mchezo wa marudiano na timu ya Botswana! Na bahati mbaya huyo kocha nina uhakika atatoka nje ya mipaka ya nchi yetu, na hivyo siyo Juma Mgunda!
Moroko huyu anayebebwa na wenzake.
Aliyeishindwa Namungo.
Viongozi wanatukomesha tuchukue hatua
Huyo ni kolo boy mwenzakoYANGA MWENZANGU UMEHAMIA LINI SIMBA? VIPI DR SLAA HAJAMBO?
Makocha wetu wazawa watakusaidia ligi ya ndani tu lakini kimataifa huko uwezo wao uko chini hawawezi ,kuanzia hatua ya makundi na kuendelea kunahitaji strategistRejea mechi zote za makocha wote waliopita Simba. Niambie yupi anarekodi nzuri za mechi na matokeo kumpita mgunda alafu uje tujadili.
Au kinachomfanya Mgunda asiwe kocha mkuu wakudumu ni nini? Au ngozi au Taifa lake tu.?
Mbona South Africa na Kongo hutumia wazawa?
Mtafute mtu mzima umwambie akuandikie ulichotaka kuandikaHuyo ni kolo boy mwenzako
Nguvu moja 😀Labda ulitaka Simba wafanye nn na muda huu mdogo uliopo? Hebu tuwe realistic jamani sio kila muda ni lawama tu. Kupata kocha na wasaidizi wake na pia kushughulikia vibali ndani ya siku 4 kabla ya game ya marudiano uongo na wakati huo timu inahitaji maandalizi. Tuache lawama muda mwingine
Matola hana vyeti kusimamia mechi ya Caf.Ususie mechi ipi wakati mechi hairuhusiwi watazamaji?.Mnaibuka kama uyoga zikitokea changamoto. Sijawahi kusoma post yako ukiandika kitu positive kuhusu Simba.
Simba wamchukue Mgunda kwa mechi moja wakati ana mkataba na Namungo?Hoja yako ingekuwa na mashiko wangemtaka kwa long term.Mgunda alikuwa na achievement ipi ya kushangaza?
Umekuwa Kingwalangwala where commonsense is not common.Au wewe ni wale wenye kujua majibu ya mtihani wakishapata matokeo.?
Matola asingepewa red card wala tusingekuwa tunajadili hoja yako.
Ukikosoa Serikali wewe ni chadema. Na ukiikosoa yanga wewe ni Simba. Akil za kitoto sanaYANGA MWENZANGU UMEHAMIA LINI SIMBA? VIPI DR SLAA HAJAMBO?
Minziro ni huwa kocha mzuri, why haonekani??Labda ulitaka Simba wafanye nn na muda huu mdogo uliopo? Hebu tuwe realistic jamani sio kila muda ni lawama tu. Kupata kocha na wasaidizi wake na pia kushughulikia vibali ndani ya siku 4 kabla ya game ya marudiano uongo na wakati huo timu inahitaji maandalizi. Tuache lawama muda mwingine