Kwa hili la Morrison, Simba mmewaumiza TFF makusudi

Utopolo mnahangaika na morison ambae hawataki ajabu sana, nyie ni tasisi sajili ata mess au mbape aje Yanga.

Tulieni tukawatafutie nafasi ya viti maalum mwakani na nyie mshiriki club bingwa, maana mnaweza kaa miaka 10 bila kushiriki
Morrison hatusumbui tunataka tumkomeshe tu Na mpira hata cheza
 
Hapa ndiyo tutashuhudia nguvu ya CAS na FIFA hakika kama ni kweli Morrison alikuwa na mkataba na Yanga ( genuine) basi tutashuhudia maajabu makubwa kisoka kwa nchi yetu.
 
Timu mbumbumbu itaendelea kuwa mbumbumbu tuView attachment 1531916
Hayo maneno ya kocha yasikutishe hakuna mtu yeyote aliyeawahi kufurahi kufukuzwa kazi. So kujibu hvyo ilikua ni lazima. Mmesahau Zahera alivyotoa povu kali tena kwa kuzunguka vyombo vya habari km cluods na Efm kwa wiki nzima anatoa maneno ya kejeli lakini juzi kati clouds wanamhoji km akipewa nafasi atarudi yanga baada ya luc kutimuliwa akajibu wakimhitaji awezi kukataa.
 
Morrison hatusumbui tunataka tumkomeshe tu Na mpira hata cheza

Utamkomesha vip mtu unamlipa mshahala na posho za bure wakat hachezi yupo benchi tuu anajampiana matumizi mabaya ya pesa za umma
 
Maelezo marefu lakini hamna kitu kwa sasa hivi ili mkataba utambuliwe lazima usajiliwe tff kwenye mfumo wao na muda wa usajili unajulika mmebaki kung'ang'ani a tff wamesajili mkataba wa Morison na yanga wakati hata hamjui dirisha la usajili linakuwa lini nimeamini nyinyi ni uneducated, manyani na mambwa kama kocha wenu alivyowaita
 
Ukweli wa mambo anajua MCHEZAJI MWENYEWE KATUAMBIA YEYE ALIKUWA NA MKATABA WA MIEZI 6 SISI NI NANI HADI TUMBISHIE?.
Swali la kujiuliza kwanini yanga walimpa MKATABA WA MIEZI 6 ?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kila mtu atafungua nyuzi za Morrison Bernard kama vile yupo yeye tu duniani? Tumechoka. Sisi yanga tutaumia yataisha ila tutalipiza tu.

Mtalipiza na na nini mpira ndio hivyo mnaacha vifaa mnasajiri kwa utopolo style kama mwaka jana na ukisema kuwa utaiba wachezaji kutoka Simba nako pesa huna na hakuna mchezaji anayependa apate shida za kusafirishwa kwa Fuso aache mahali pa kukwea pipa...Yanga mnalo tena msimu huu na kwa usajili ule lazima kitang'ang'ania
 
Senzo kashawakimbia, uswahili mwingi pale!
 
Ukweli wa mambo anajua MCHEZAJI MWENYEWE KATUAMBIA YEYE ALIKUWA NA MKATABA WA MIEZI 6 SISI NI NANI HADI TUMBISHIE?.
Swali la kujiuliza kwanini yanga walimpa MKATABA WA MIEZI 6 ?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hakumwamini kutokana na historia yake!
Simba eamemchukua ili kuwakejrli Yanga otherwise BM hsfai!
 
Uliza uambiwe. Simba wana ukweli kutoka kwa wachunguzaji kuwa Yanga wameghushi sain. Sasa shida ni mini hapo. SIMBA KLABU KUBWA INA WATU MILA IDARA NYETI YA HII NCHI
 
Pale posta karibu na jengo la RITA kuna watu wamesomea kuchonga sahihi/Saini(Signature) ya mtu yeyoye duniani.
 
Acha uzuzu mkuu morison mwenywe anadai mkataba wake na yanga ni wa miezi 6 huo mkataba wa miaka miwili ni wa kugushi, tatizo lenu yanga hamtaki kumaliza migogoro iliyopo na kufukuza vile vizee vya kiswahili ambavyo vinaleta migogoro isiyoisha.
 
Nasikia Senzo amejiuzulu...bila Shaka hakutaka kuhusishwa na ujinga huu uliofanyika kumhusu Morrison..
 
Nasema hiviiii,, tatizo la yanga ni uswahili uswahili mwingi usiokuwa na maana.
 
Mhhh usiwafokee mbumbu FC
 
Manyani fc!
 
Acha uzuzu mkuu morison mwenywe anadai mkataba wake na yanga ni wa miezi 6 huo mkataba wa miaka miwili ni wa kugushi, tatizo lenu yanga hamtaki kumaliza migogoro iliyopo na kufukuza vile vizee vya kiswahili ambavyo vinaleta migogoro isiyoisha.
Mimi siyo Yanga, lakini nadhani majibu umeyapata nani Zuzu kati yangu na wewe baada ya Senzo kufanya niliyoelezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…