Kwa hili la Muungano Hayati Karume alimzidi ujanja Hayati Mwalimu Nyerere

Rule L

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2020
Posts
1,846
Reaction score
2,754
Huu ni ukweli ambao hausemwi, mwalimu Nyerere alizidiwa akili na Karume wakati wa kuwekwa makubaliano juu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Karume alimzidi parefu sana mwalimu, na nadhani hakutafakari kwa kina kabla ya kuweka makubaliano, unaua nchi yako ila ya mwenzako inabaki palepale, kuanzia bendera, Rais, Jeshi, mahakama na kila kitu.

Na sijawahi kusikia fungu limetoka Zanzibar kuja huku panapoitwa bara, ila ni fungu kutoka bara kwenda Zanzibar.

Mwalimu alikuwa anachanganya michanga bila ya kuwazia miaka ya mbele zaidi.

Sasa Mimi najiulizaga Tanganyika inanufaika na nini kwenye huu muungano?

Kama ni ile michanga ikamwagwe hata Somalia muungano ufe maana hauna mantiki.
 
Kumbe tuko na muungano na somalia na hamsemi nyie watu🤔
 
Haiwezi kua sawa. Karume ndio alijikoroga, Hivyo vitu viliachwa kwa sababu karume aendekee kujikuta bado ana madaraka. Ujanja upo pale walipo sema jeshi ni la Muungano and who is the commander in chief? ni RJMT.

Ila bado huu ni uroho wa madaraka tu ndio ulio tufikisha hapa, hawa ndugu wawili walikua na uwezo wa kuunganisha hizi nchi 2 kabisa, ila wakaanza kuulizana nani atakua Raisi baada ya kuunganisha i guest kila mtu alikua hayuko tayari kuachia madaraka kwa wakati huo, ndo nyerere akaja na hii plan ya Muungano uchwara.

Na hapo ndo inakua vigumu kutibu dosari za Muungano mpaka leo, Mm naona njia pekee itakayo tibu muungano ni secular states, ambapo Zanzibar inakua jimbo kama yalivyo majimbo ya bara, then tunakua na serikali ya Muungano.
 
Fact
 
Ni kweli huu ni muungano gani ? Kwanini kusiwe na raisi mmoja tu na nchi ibaki Tanzania ? Fikra zao wao ziliishia kufanya hayo lakini sisi inabidi tubadili hayo tubaki na Tanzania
 
Basi mwalimu hakua na nia dhahiri ya kuleta Muungano, Nilijua Karume ndo alitia ngumu
Mwalimu alikuwa na Nia thabiti ya muungano Ila alichowaza yeye sicho walichowaza wengine.
Mwalimu alifikiri baada ya wazanzibar kuona faida ya muungano wangedai serikali moja kumbe hakuwajua kiundani kuwa ni wabinafsi kupindukia
 
Kunanwakati naonanhata bila nyerere tungekuwa mbali sana. Wavivu wangebakia waviv nchi ingekuwa mbali tu
 
Huu ni ukweli ambao hausemwi, mwalimu Nyerere alizidiwa akili na Karume wakati wa kuwekwa makubaliano juu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Karume alimzidi parefu sana mwalimu, na nadhani hakutafakari kwa kina kabla ya kuweka makubaliano, unaua nchi yako ila ya mwenzako inabaki palepale, kuanzia bendera, Rais, Jeshi, mahakama na kila kitu.

Na sijawahi kusikia fungu limetoka Zanzibar kuja huku panapoitwa bara, ila ni fungu kutoka bara kwenda Zanzibar.

Mwalimu alikuwa anachanganya michanga bila ya kuwazia miaka ya mbele zaidi.

Sasa Mimi najiulizaga Tanganyika inanufaika na nini kwenye huu muungano?

Kama ni ile michanga ikamwagwe hata Somalia muungano ufe maana hauna mantiki.
Mkuu,
Kubwa kabisa Ni for security purposes....

Na kwa taarifa yako Zanzibar itaendelea kua koloni letu kwa miaka mingine 60
 
Back
Top Bottom