Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,164
- 5,762
- Thread starter
- #21
Ninachokiona ni watu kujibu kwa kejeli, dharau, ushabiki, personal attacks na upumbavu. Lakini tunasahau kwamba tunasahau kwamba huu muziki tunaouona ni upuuzi unachangia asilimia fulani kwenye pato la taifa, na hata kwenye kuitangaza nchi kimataifa. Leo hii mtu kama Alikiba, Jackline Ntuyabaliwe na wengine wasingetumika kwenye uhamasishaji wa kupinga ujangiri kama wasingekuwa na impact katika jamii.