Kwa hili la Samatta, Serikali inafanya double standards

Ninachokiona ni watu kujibu kwa kejeli, dharau, ushabiki, personal attacks na upumbavu. Lakini tunasahau kwamba tunasahau kwamba huu muziki tunaouona ni upuuzi unachangia asilimia fulani kwenye pato la taifa, na hata kwenye kuitangaza nchi kimataifa. Leo hii mtu kama Alikiba, Jackline Ntuyabaliwe na wengine wasingetumika kwenye uhamasishaji wa kupinga ujangiri kama wasingekuwa na impact katika jamii.
 
Kila jambo na wakati wake. Kwa issue ya diamond sina pingamizi, dogo anastahili kupongezwa, ameitangaza sana Tanzania kuliko hata huyo Mbwana Samatta. Marehemu Kanumba (RIP) naye alifanya vizuri sana kimataifa, hata hivyo enzi za uhai wake hakuwahi kutuzwa kama vile ambavyo alipokea heshima kubwa ya mazishi kutoka serikalini. Huenda, haijawahi kutokea kwa serikali kusaidia mazishi ya mtu yeyote kama ilivyofanya kwa Kanumba, nani ajuaye pengine diamond naye kaandaliwa tuzo kubwa baada ya kufariki. Tuwe na subira maana kila jambo lina wakati wake.
 
Kwan samatta ni msanii
 



CCM kumtumia kwenye kila sherehe ni TUZO mkuu
 
Tatizo ni tabia za wasanii, serikali haiwezi kumpa diamond pesa taslimu ili aende kumnunulia zari cchupi.
 

Nasikitika Kuwa Yaani Kwa UMRI Wako Huo Na Kuandika Kwako Kote Huu UZI Mrefu Bado Tu Umeshindwa Kujua Tofauti Iliyopo Kati Ya Ushindi Wa Mchezaji Bora Wa AFRIKA Wa Ndani Mbwana Samatta Na Mshindi Wa Tuzo Za Muziki Wa Nchi Mbili Tatu Tu Za Afrika Nasib Abdul. Kweli AKILI Zetu Ni Za MASAFA MAFUPI Tu!
 
Huyo alifanya ikulu kama sebuleni kwake acha na wengine wafaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…