Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo barabara si inatengenezwa kuanzia pale nakanazi au?Mzee baba kama nia ni njema na kweli taarifa huna katembee na huku:
Barabara ya kutokea Rusumo haipitiki kwa siku mbili sasa
Mbona kuna vichwa vingi tu vya kula.
Wewe.Aliekuambia tumemzuia nani?
Hivi basicaslly alikwenda/amekwenda kwenye daraja kufanya nini?
Aisee kuna mengi tusiyoyajua,Magufuli hatamgusa swaiba wake..Interesting point. Waziri Mkuu alitoa maagizo kwa waziri wa Ujenzi. Waziri wa Ujenzi akatoa maagizo kwa Mfugale. Na Mfugale akagoma kuyatekeleza. Waziri wa Ujenzi akamwambia Mfugale basi ziara inayofuata ya PM nenda wewe mie siendi maana nitakosa la kumjibu. Mfugale akasema wewe niachie mie, na ndio akamjibu Waziri Mkuu mimi ndio naetekeleza maagizo unayotoa (yaani sio Waziri wa Ujenzi). Kisha akampa sababu kwa nini hajatekeleza. Baada ya wiki mbili daraja likabomoka. PM alikasirika hadi kigugumizi, akashindwa hata kutamka Andalwisye na Mfugale! Magufuli akaingilia kati.
Hivi unajua hao unaowaambia wanapiga ramli ndio wanaolipia kwa kodi zinazokatwa kwenye mishahara yao na biashara wanazofanya?Endeleeni kupiga ramli, mwacheni rais afanye kazi yake.
Kwa kifupi Mfugale kadumaa na kufubaa pale ujenzi, hivi sasa kazeeka hawezi kwenda na wakati na technologies yake anayoijua imepitwa na wakatiHawa watu hawafai kabisa na siwezi kuendesha gari huko tena katika maisha yangu
Ni hivi nilikuwa namsaidia dereva aliekuwa kachoka usiku
Qhafla nikakutana na kifusi kikubwa cha na kwenye kifusi ndio wameweka alama ya diversion
Bahati nzuri nilikuwa naenda taratibu tu yaani unaweza kukutana na daraja limekatika ukadumbukia tu
Kweli sisi bado sana katika usalama wa barabara
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hamna kavideo mkuu?Interesting point. Waziri Mkuu alitoa maagizo kwa waziri wa Ujenzi. Waziri wa Ujenzi akatoa maagizo kwa Mfugale. Na Mfugale akagoma kuyatekeleza. Waziri wa Ujenzi akamwambia Mfugale basi ziara inayofuata ya PM nenda wewe mie siendi maana nitakosa la kumjibu. Mfugale akasema wewe niachie mie, na ndio akamjibu Waziri Mkuu mimi ndio naetekeleza maagizo unayotoa (yaani sio Waziri wa Ujenzi). Kisha akampa sababu kwa nini hajatekeleza. Baada ya wiki mbili daraja likabomoka. PM alikasirika hadi kigugumizi, akashindwa hata kutamka Andalwisye na Mfugale! Magufuli akaingilia kati.
Kwa kifupi Mfugale kadumaa na kufubaa pale ujenzi, hivi sasa kazeeka hawezi kwenda na wakati na technologies yake anayoijua imepitwa na wakati
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezekani, ana miaka 67? Kwani hiyo position ni uteuzi wa kisiasa? Umri wa watumishi wa seikali kustaafu ni miaka mingapi?Tusimulaumu Mfugale bali tumulaumu anayetaka asitoke ofisini. Mtu ana miaka zaidi ya 67 bado hutaki astaafu. Mzee kachoka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiweka video watajua ni nani kairekodi!
Mkuu unatuchanganya hapa. Madaraja yanajengwaje kisiasa? Uokoaji changamoto ajali zikitokea?
Hili la ukaguzi wa barabara hasa sehemu mashimo nikupongeze. Umepaza sauti sana na umetoa ushauri mzuri. Pongezi sana.Mie nadhani anajisahau sana kutokana na kujua yuko karibu na Magufuli. Sasa hapo changanya na kale katabia ka Kihehe ka kuwa na "kidada"
Ati rais anamwogopa mtu, mnafikiri huyu ni Vasco Da Gama? JPM anafanya kazi ambayo rais yeyote anayejitambua anafanya. Natumaini unapata salam kila kinachoendelea ndani ya TZ.Hivi unajua hao unaowaambia wanapiga ramli ndio wanaolipia kwa kodi zinazokatwa kwenye mishahara yao na biashara wanazofanya?
Unaonyesha either hujui unaongea nini au hujafikia umri wa kuchangia maendeleo ya taifa hili.
Mkisikia Rais sijui mnamuona kama Mungu? Ni mtu kama wewe na mimi. Ni mfanyakazi wetu tumemuajiri asimamie maendeleo ya taifa. Sasa mwajiri analazimikaje kumwogopa mfanyakazi?
Au mfanyakazi kashatuloga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisema wazi, kwamba kuna ajali nyingi sana na watu kufa nchini na sababu kubwa ni uzembe wa TANROADS, wala sio suala la madereva. Ndio kuna ajali zinazotokea kutokana na uzembe wa madereva, lakini si kila ajali inatokana na uzembe wa dereava. Dereva anaweza kuwa mzembe na kusababisha ajali katika sehemu ambayo TANROADS wamefanya uzembe, sehemu ambayo kama TANROADS wasingekuwa wamefanya uzembe, uzembe wa dereva usingesababisha ajali (TANROADS negligence compounded by driver's negligence).
Nilisisitiza sana kwamba Mfugale anafanya matumizi mabaya ya fedha ya kurekebisha barabara ambayo tunachangia kila tunaponunua mafuta (Road Maintenance Fund)
Ajali iliyoua watu 6 Dodoma: Wanaopaswa kukamatwa na kuwekwa ndani ni Mfugale na Meneja wa Dodoma wa TANROADS Dodoma, sio dereva wa lori
Mfugale awavimbia Waziri Mkuu na Waziri wa Ujenzi kwa kivuli cha Rais Magufuli?
Ndio maana nilisema;
Magufuli atoe amri kwa Mfugale kwamba kuanzia sasa sitaki kusikia ajali imetokea kwenye barabara kuu za lami za TANROADS na chanzo eti kulikuwa na gari ikikwepa shimo dereva aliloona ghafla katikati ya barabara, au daraja limekatika
Hebu niambieni wana JF, Mfugale akitekeleza haya, ni ajali ngapi na vifo vingapi vitaepushwa? NI gharama kubwa kiasi gani itahitajika kufanya haya?
- Kila meneja wa mkoa wa TANROADS, fanya ukaguzi wa kila wakati wa barabara kuu zote za lami na kuhakikisha eidha mashimo yamefukiwa permanently au kwa hatua za muda
- Shimo lolote lililofukiwa kwa hatua za muda sehemu hiyo iwekwe alama za tahadhali kwa madereva kuwaonya juu ya uwepo wa shimo kubwa barabarani. Kwa hiyo wakaguzi watembee na alama za onyo kuweka barabarani
- KIla mvua kubwa ikinyesha TANROADS wapite kufanya ukaguzi barabarani kuhakikisha hakuna vifusi vilivyuporomokea barabarani au madaraja kuathirika au kuwa na takataka zinazozuia maji.
- Kila Mkoa wa TANROADS uwe na kikosi cha kazi cha kurekebisha barabara kwa muda na kiwe on call masaa 24 kwa siku katika siku saba za juma
- TANROADS wawe na call centre ya road emergency na watoe namba za simu za emergency au watumie 112 ili madereva wanapoona hali mbaya barabarani wawapigie na watatue hilo tatizo mara moja. Namba hizi zitangazwe kikamili pamoja na kuwekwa kwenye stika za insurance ili watu wazione na kuzijua
Je Magufuli amesikia? Angalia hii clip.
Kula kulala huyo usikute anaishi kwa Mme wa Dada yakeHivi unajua hao unaowaambia wanapiga ramli ndio wanaolipia kwa kodi zinazokatwa kwenye mishahara yao na biashara wanazofanya?
Unaonyesha either hujui unaongea nini au hujafikia umri wa kuchangia maendeleo ya taifa hili.
Mkisikia Rais sijui mnamuona kama Mungu? Ni mtu kama wewe na mimi. Ni mfanyakazi wetu tumemuajiri asimamie maendeleo ya taifa. Sasa mwajiri analazimikaje kumwogopa mfanyakazi?
Au mfanyakazi kashatuloga?
Sent using Jamii Forums mobile app
70+Haiwezekani, ana miaka 67? Kwani hiyo position ni uteuzi wa kisiasa? Umri wa watumishi wa seikali kustaafu ni miaka mingapi?
Haiwezekani, ana miaka 67? Kwani hiyo position ni uteuzi wa kisiasa? Umri wa watumishi wa seikali kustaafu ni miaka mingapi?