Kwa hili la viboko kuna 'double standard'

Kwa hili la viboko kuna 'double standard'

curie

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2020
Posts
699
Reaction score
1,600
Kuna ndugu yangu ni kitengo huko serikali tena idara ya elimu na ndo kashikilia bango swala la viboko.

Wakati yeye mtoto wake anayesoma shule kapuni hapa dar juzi mwanae kunusurika kufukuzwa bada ya utovu wa nidhani.

Kimbembe sasa huyu ndgu yangu kidgo amuue mwanae kwa bakola zisizo na idadi huku akichapa kila sehemu anayoona.

Sasa akabidi walimu waahirishe zoezi la kumfukuza shule make angeweza kuua huko nyumbani.

Sasa huko mtandaoni alivyocharuka.
 
Ndio vya kiume mkuu,umri kama miaka 9
Lakini ni sawa? vitoto vidogo hivyo kudhalilishwa na waalimu tena wakubwa wanatukana hovyo

Hao watoto wangeonywa bila kuaibishwa na kurekodiwa kwani wamefindishana kwa mkumbo tu
Wangechapwa au kuambiwa kuwa ni tabia mbaya sana

Sasa video inasambaa kila kona na wao wahojiwe pia
Kitendo cha watoto kulawitiana ni kibaya ila waalimu nao wamekosea pia

Elimu itolewe sana kuhusu maadili na tabia njema sio kukaririsha tu watoto

Takwimu hizi naziamini
Screenshot_20230126_134355_Instagram.jpg
 
Lakini ni sawa vitoto vidogo hivyo kudhalilishwa na waalimu tena wakubwa wanatukana hovyo

Hao watoto wangeonywa bila kuaibishwa na kurekodiwa kwani wamefindishana kwa mkumbo tu
Wangechapwa au kuambiwa kuwa ni tabia mbaya sana

Sasa video inasambaa kila kona na wao wahojiwe pia
Kitendo cha watoto kulawitiana ni kibaya ila waalimu nao wamekosea pia

Elimu itolewe sana kuhusu maadili na tabia njema sio kukaririsha tu watoto

Takwimu hizi naziamini View attachment 2496346
Elimu ya mitandao hapa nchini kwetu bado ni tatizo Mkuu kila kitu tuna record, hata matamshi ya hao walimu pia sio mazuri
 
Tutafute pesa..

Hao viongozi wanaosema watoto wetu wasichapwe au wanatupangia adhabu hayupo ata mmoja mtoto wake anayesoma ''asante mkapa".....

poleni sana mnaodhani private hakuna viboko
 
Hilo swala ni pana sana,huko Twitter nimeona video walimu wanavihoji vitoto vya kiume vimekulana vipo kama sita,sijui ni Zanzibar
Sure

Ata mimi nimeiona jamani elimu kwa masikini inabidi isimamiwe na masikini wenyewe la sivyo toto lako litakuua mwenyewe maana mawazili,raisi,wabunge na viongozi wengi wa serikali wanasoma shule za pesa (private)....

 
Ni kweli, ila wazazi nao wana fail kwenye malezi kwa mfano hilo tukio nililosema hapo juu,Mzazi alitambua ila akaishia kukanya kwa mdomo
hii ni kazi ingine… kuna vingi hapo ukichunguza zaidi
 
Hivi nyie mabwege mnaweza kufundisha Basic Maths darasa moja mikondo mitano shule ya kata bila viboko?
 
Elimu ya mitandao hapa nchini kwetu bado ni tatizo Mkuu kila kitu tuna record, hata matamshi ya hao walimu pia sio mazuri
Waalimu wanatukana kama Malaya kabisa mkuu
Wanadhihirisha kuwa wao pia hawana maadili

Mkuu kama mtoto wako hujamfundisha mambo mazuri na kumkataza mabaya basi atayakuta huko kwa wenzie na akifundishwa atakubali tu

Kwa sisi weusi eti kumfundisha na kumuambia mtoto usifanye uzinzi au kulawitiana ni dhambi tunaona ni vigumu sana

Sasa hapo ndio wanakuja waalimu ili wawasaidie watoto ila badala yake wanawadhalilisha badala ya kuwakanya na kuwaambia ni dhambi msifanye tena

Unafikiri Hao watoto watatukanwa miaka mingapi ijayo na historia haipotei hata wakikua na kuoa na kuzaa itawafuata mpaka watoto zao

Ndio unakuta mtu anaamua kuwatafuta Hao waalimu na kuwamaliza kwa aibu au wanajiua

Tutoe elimu nyumbani na mashuleni, makanisani na misikitini kwa nguvu zote

Wenzetu wazungu wameamua kuwafundisha ushoga sisi tupinge simple
 
Huyo jamaa yako alieko serikalini hajui wanae tabia zao kwani anaingia na kutoka tu
Na ukute ndio wale wazazi wanakaa mbali na watoto hata akiwa nyumbani

Sasa limetokea ndio anajitoa ufahamu
Kama mzazi hana ukaribu na mtoto haya ndio matokeo
 
Back
Top Bottom