Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule RC wa Precision nimemsikia anasema walimu hawafuati kanuni za uchapaji viboko, sijui yeye alifuata kanuni gani kule UmalilaKuna ndugu yangu ni kitengo huko serikali tena idara ya elimu na ndo kashikilia bango swala la viboko.
Wakati yeye mtoto wake anayesoma shule kapuni hapa dar juzi mwanae kunusurika kufukuzwa bada ya utovu wa nidhani.
Kimbembe sasa huyu ndgu yangu kidgo amuue mwanae kwa bakola zisizo na idadi huku akichapa kila sehemu anayoona.
Sasa akabidi walimu waahirishe zoezi la kumfukuza shule make angeweza kuua huko nyumbani.
Sasa huko mtandaoni alivyocharuka.
Ni Tangaa, afu vya shule ya msingi.Hilo swala ni pana sana,huko Twitter nimeona video walimu wanavihoji vitoto vya kiume vimekulana vipo kama sita,sijui ni Zanzibar