Hilo swala ni pana sana,huko Twitter nimeona video walimu wanavihoji vitoto vya kiume vimekulana vipo kama sita,sijui ni Zanzibar
Ndio vya kiume mkuu,umri kama miaka 9Vitoto vya kiume?
Lakini ni sawa? vitoto vidogo hivyo kudhalilishwa na waalimu tena wakubwa wanatukana hovyoNdio vya kiume mkuu,umri kama miaka 9
Elimu ya mitandao hapa nchini kwetu bado ni tatizo Mkuu kila kitu tuna record, hata matamshi ya hao walimu pia sio mazuriLakini ni sawa vitoto vidogo hivyo kudhalilishwa na waalimu tena wakubwa wanatukana hovyo
Hao watoto wangeonywa bila kuaibishwa na kurekodiwa kwani wamefindishana kwa mkumbo tu
Wangechapwa au kuambiwa kuwa ni tabia mbaya sana
Sasa video inasambaa kila kona na wao wahojiwe pia
Kitendo cha watoto kulawitiana ni kibaya ila waalimu nao wamekosea pia
Elimu itolewe sana kuhusu maadili na tabia njema sio kukaririsha tu watoto
Takwimu hizi naziamini View attachment 2496346
Haya mengine sasa.Hilo swala ni pana sana,huko Twitter nimeona video walimu wanavihoji vitoto vya kiume vimekulana vipo kama sita,sijui ni Zanzibar
Ni hayo hayo Mkuu,ukitazama sometimes ni sahihi walimu kuchapa hawa watotoHaya mengine sasa.
Wazazi hawakatazi watoto wao kuadhibiwa, ila adhabu isipitilize.Ni hayo hayo Mkuu,ukitazama sometimes ni sahihi walimu kuchapa hawa watoto
Ni kweli, ila wazazi nao wana fail kwenye malezi kwa mfano hilo tukio nililosema hapo juu,Mzazi alitambua ila akaishia kukanya kwa mdomoWazazi hawakatazi watoto wao kuadhibiwa, ila adhabu isipitilize.
SureHilo swala ni pana sana,huko Twitter nimeona video walimu wanavihoji vitoto vya kiume vimekulana vipo kama sita,sijui ni Zanzibar
hii ni kazi ingine… kuna vingi hapo ukichunguza zaidiNi kweli, ila wazazi nao wana fail kwenye malezi kwa mfano hilo tukio nililosema hapo juu,Mzazi alitambua ila akaishia kukanya kwa mdomo
Waalimu wanatukana kama Malaya kabisa mkuuElimu ya mitandao hapa nchini kwetu bado ni tatizo Mkuu kila kitu tuna record, hata matamshi ya hao walimu pia sio mazuri