Kwa hili la viboko kuna 'double standard'

Kwa hili ilivyo mashuleni hizo ni bakola za kawaida mno tena mno
 
Yule RC wa Precision nimemsikia anasema walimu hawafuati kanuni za uchapaji viboko, sijui yeye alifuata kanuni gani kule Umalila
 
Kama hamtaki wachapwe wafundisheni wenye ila huku site nyuma ya camera wadogo wanaomba poo
 
Hilo swala ni pana sana,huko Twitter nimeona video walimu wanavihoji vitoto vya kiume vimekulana vipo kama sita,sijui ni Zanzibar
Ni Tangaa, afu vya shule ya msingi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…